Najua manen nasty tu, kidgo kidgo sana..back then mshua wang aliwah kupig mishe flan kule so akaw anatupag story za kule
Sheta na Ipupa mjadala juu yao huwa hauishi mkuu tutaharibu thread ya mkuu hapa
Ha ha ha ha timu WERASSON umetisha....JB Mpiana mwisho wake ilikuwa Ndombolo ya Solo na mwisho kabisa ni TITANIC, lakini toka Le Roi de La Forret,Igweee alipotoka na albamu ya Rapid Force de Intervention (kikosi maalumu cha uokozi),Solela Bien (Zungumza vizuri) mengine imekuwa ni historia, ni mtambo wa kuzalisha ubunifu, swagga, mirindimo, atalaku, ama kwa hakika Wenge Musica Maison Mere (WMMM) imekuwa kama timu ya taifa kwa CONGO,amezalisha vipaji vingi sana na vinawika haswaaa. kama Bill Clinton (Atalaku ambaye alibadilisha kabisa kughani mwangalie Kitokololo), Ferre Gola, FABREGAS,WATANABE,EBOA LOTION,DEPLIK, CAFE ROUM.
Haaaa kaka Moyibi sio mwizi kweli?.....swaadakta malizia na Moyibi
JB Mpiana mwisho wake ilikuwa Ndombolo ya Solo na mwisho kabisa ni TITANIC, lakini toka Le Roi de La Forret,Igweee alipotoka na albamu ya Rapid Force de Intervention (kikosi maalumu cha uokozi),Solela Bien (Zungumza vizuri) mengine imekuwa ni historia, ni mtambo wa kuzalisha ubunifu, swagga, mirindimo, atalaku, ama kwa hakika Wenge Musica Maison Mere (WMMM) imekuwa kama timu ya taifa kwa CONGO,amezalisha vipaji vingi sana na vinawika haswaaa. kama Bill Clinton (Atalaku ambaye alibadilisha kabisa kughani mwangalie Kitokololo), Ferre Gola, FABREGAS,WATANABE,EBOA LOTION,DEPLIK, CAFE ROUM.
Nimekusoma mkuu...

Pamoja na vita ya Ferrre na Fally ni kama ya Mayweather na Pacquio, lakini kitendo cha Ferre kurudi na kujikita zaidi kwenye Classic Rhumba wakati Fally akiuchanganya muziki wa Congo na pops, akinogesha zaidi na ubunifu wa kucheza, mavazi, na kujulikana zaidi kimataifa, ni kama Ferre ameachwa nyuma.
JB Mpiana mwisho wake ilikuwa Ndombolo ya Solo na mwisho kabisa ni TITANIC, lakini toka Le Roi de La Forret,Igweee alipotoka na albamu ya Rapid Force de Intervention (kikosi maalumu cha uokozi),Solela Bien (Zungumza vizuri) mengine imekuwa ni historia, ni mtambo wa kuzalisha ubunifu, swagga, mirindimo, atalaku, ama kwa hakika Wenge Musica Maison Mere (WMMM) imekuwa kama timu ya taifa kwa CONGO,amezalisha vipaji vingi sana na vinawika haswaaa. kama Bill Clinton (Atalaku ambaye alibadilisha kabisa kughani mwangalie Kitokololo), Ferre Gola, FABREGAS,WATANABE,EBOA LOTION,DEPLIK, CAFE ROUM.
Mkute Koffi olomide, extramusic, mkute awilo longomba zile na wadau wengine ilikuw hatari sana
Msaada jamani kama nataka kumjb mtu kutoka kwny post inayoendeleea nafanyaje plz msaada kama hujui ucjb wala kuleta kejeli hapa
....Kuna kipindi watu walisema JB Mpiana alimeza chura ndo maana anasauti ya ajabu...
Konda wa bodaboda ongeza na myama mmoja aaliitwa Soukus star.
Papa wemba,Zaiko langalanga, Arusi Mabele, Monica Seka(Alikuwa na ngoma za kuotea), Awilo Longomba,Mbilia abel( Anamtoto wake kike nae yupo moto hatari), Shela mwana nae
Kka huyo jamaa sauti yake yenyewe ni mziki tosha, kuna kitu kama Ferre de Armour, Omba, 48 hrs, na Acapela
Hicho kibao cha Acapella alikiimba baada ya kuachana na Werrason
ngoja nikupe vipande vyake hapa:
Nini ya mabe ngai nasaliyee- ni kipi kibaya nilichofanya
Faute nakoma ennemi jurer ya moto nyoso tuu-Mpaka niwe adui wa milele kwa watu wote
Maso nakosala bakomona mabe- kila niachofanya wanakiona kibaya
Ngai Mpiana nayebi tina nakokufa tee- Mi Mpiana wala sijuhi siku ntakayokufa
Naseka nanga ooo ngana choli bangoo- nikicheka wanasema nawachokoza
Naloba ata lisolo nganatongi bangoo- nikisema niwasalimie wanasema nawachokoza
Nzambe ya moto yebaka le bon et le mauvais - Mungu wewe ndio unajua kizuri na kibaya
Soki ya c'est vrai nazali moto mabee- kama ni kweli mimi ni mtu mbaya
Pesa nga etumbu ya liwa na kufa po basepelaa- unipe kitu nile ili nife ili wafurahi
Lobi balobakinga Porton la poulon se d Or- Jana waliniona kama nimebeba dhahabu
Lelo nga nakomi ennemi jurer na bango- na leo nimekuwa adui wa milele kwao
Nzambe yokela likolo na mabelee- Mungu unisikie juu na chini
Nganatie ma malongo nase nakosenga jugement seyayoo- napiga magoti chini nikiomba mahamuzi yako
Kipande che chini baadae, hakuna mwanamuziki ninayemkubali DRC kama huyu bwana, jamaa anajua mziki sana sana
CC: Merengo90, werrason