miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kumbe nae mpumbavu
Umemsahau kumbe?....nae ni wale wale,sasa mtu anakwambia akioteshwa kuwa rais bas atagombea sasa sio puuuuu...mbavu?!!!!
Kumbe nae mpumbavu
Kwa nini wasitangaze tu kuwa jumatatu na jumanne iwe mapumziko kwa watumishi wa umma? Maana hii sasa ni kutafutana ubaya na mwajiri!
Kwa mnaofahamu,Rais wa Marekani anapozuru nchi kama CHINA NA urusi nao wanafanyiwa hivi kweli???ndege za kivita za Marekani zinaruka na kuizunguka miji ya nchi hizo alipofikia Rais wa Marekani kama zitakavyofanya hapa kwetu?maana kama ni kuogopa maadui hata huko wapo.
Halafu watu wakiwaita wapumbavu wanakuja juu! Miaka yote wanawaacha omba omba na watoto wanaostahili kuwa shuleni wakishinda barabarani leo hii wanawasomba kwenda kuwaficha! Kama serikali inajua kuwa hawatakiwi kuwepo barabarani kwanini wamekuwa wakiwaacha tu wakiongezeka siku baada ya siku? Majanga bongo hayaishi.ule ukuta sa hivi unangaa mbaya!!!!!
Omba omba wote wametolewa katikati ya mji,polisi wetu naona wanachakarika
katika hili
Halafu watu wakiwaita wapumbavu wanakuja juu! Miaka yote wanawaacha omba omba na watoto wanaostahili kuwa shuleni wakishinda barabarani leo hii wanawasomba kwenda kuwaficha! Kama serikali inajua kuwa hawatakiwi kuwepo barabarani kwanini wamekuwa wakiwaacha tu wakiongezeka siku baada ya siku? Majanga bongo hayaishi.
Yaani watu wasifanye yao kwa sababu ya Obama?
Kagame haji?.............................................Viongozi watakaohudhuria mkutanohuo ni Waziri Mkuu wa Malayasia, Najib Razak, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Uhuru Kenyetta (Kenya), Boni Yayi (Benin), Ali Omar Bongo (Gabon), Ikililou Dhoinine (Comoro), Faure Gnassingbe (Togo), Ernest Koroma (Sierra Leone), Blaise Compaore (Burkina Fasso), Mahinda Rajapaska (Sri Lanka) na Mfalme waSwaziland, Mswati II, ambaye aliwasili jana.
Naona kasahau kuiomba mvua kutokuja Dar es salaam wakati wa ziara ya Obama.