Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

Naona ulaya unaisikia!
Unless kama unataka kusema no one care US President anapotembelea Europe! Yaani unataka kuniambia security inayokuwapo wakati wa ujio wa US President unakuwa sawa na siku zote? Acha hizo....Popote anapotembelea US President huwa pana-shake kinachotofautiana ni degree of shaking!!! Mathalani, Ulaya hawana sababu za kukimbizana barabarani kufunga taa coz' infrastructure kama hizo zinakuwapo! Hawana sababu ya kukimbizana barabarani kufanya usafi coz' ni hali iliyopo kila siku lakini inapokuja kuhusu masuala mengine....kote wana-shake!
 
eti wafanyabishara wa maduka wahakikishe wanafungua wiki nzima kuna madolar,pound,euro za kumwaga na wenye maeneo ya wazi wefungue migahawa kibao viongozi wetu wamesahau ya SULVAN
 
angalia pele Salenda bridge kulivyo karabatiwa na kupakwa rangi
barabara ya Morocco kwenda posta kumewekewa bendera za Tanzania
pale ubalozi wa Marekani bustani kupaliliwa na nyumba za opposite za Tanesco zilivyopakwa rangi

Huku waziri membe akitoa angalizo kwa watanzania kutosafiri wabaki walipo
hadi shughuli iishe kwani Hoteli,Taksi zoote zimekodiwa

Ufunguzi wa sabasaba kusogezwa mbele hadi Ziara itakapokamilika........
na mengine mengi yanayoendelea kwa sasa

:welcome: to Tanzania

Mimi kwangu nimependezeshwa na hilo la taksi na Hoteli kujaa, kwani Wananchi watafaidika, Mahotelini wataneemeka kuanzia tipp mpaka Madada poa, wenye taksi nao vivyo hivyo, ila mimi ningeenda mbali kidogo kuwataka Serikali watoze kodi hizo huduma zote ili fedha izunguke na sio kuishia kwa mwenye Taksi na Wenye hoteli tu!
[/QUOTE]

Madada poa kwa siku hizo watakuwa hawana soko, kwani Wamarekani wanaokuja hawatakuwa na muda wa kutembea na dada poa kwa sababu za kiusalama.

Pia ni hasara kwa madada poa kwani sehemu za starehe katikti ya mji na mabarabarani kutakuwa kimya ni ulinzi kwenda mbele tu...

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ng'o kwa hilo tu hamtupati. Taarifa zimezagaa hapa kijijini kwetu ameleta zawadi kibao na tayari meli ipo bandarini. Kwa taarifa yako tupo njiani kuwahi mgao.
 
Unless kama unataka kusema no one care US President anapotembelea Europe! Yaani unataka kuniambia security inayokuwapo wakati wa ujio wa US President unakuwa sawa na siku zote? Acha hizo....Popote anapotembelea US President huwa pana-shake kinachotofautiana ni degree of shaking!!! Mathalani, Ulaya hawana sababu za kukimbizana barabarani kufunga taa coz' infrastructure kama hizo zinakuwapo! Hawana sababu ya kukimbizana barabarani kufanya usafi coz' ni hali iliyopo kila siku lakini inapokuja kuhusu masuala mengine....kote wana-shake!

Nimekuelewa wana-shake kwa sababu USA imejitengenezea maadui mengi hivyo ulinzi wake ni wa hali ya juu.Lakini mengine kila mtu anaendelea na shughuli zake,ninatolea mfano nilipo.Kama ulivyosema degree of shaking inatofautiana!Huko kwetu kinachofanyika ni kujipendekeza!
 
Kiukweli kauli ya Membe ni upuuzi mbele yawananchi na walipa kodi wanaomlisha na kumlipa mshahara wake anaoringia.

Kitendo cha serikali kujali wapita njia wa siku 2 kwakupulizia madawa yakuua mbu namazalia yake nakuacha wananchi wakifa kwa Malaria kila kukicha, hapa hatuoni usikivu wa Serikali ya CCM badala yake ni unafiki na upuuzi mkubwa wakuficha udhaifu mbele yamabepari nawaporaji wa rasilimali zetu.

Napenda kutoa masikitiko makubwa sana kwamba siku zote atakazokuwepo mshkaj hapa nchini wananchi watakuwa jela bila kujijua sababu biashara namabanda yawamachnga yamevunjwa eti kisa Obama, nanukuu "baadhi ya barabara zitachukuliwa zitumike na wageni hao" mwisho wanukuu. (source Tanzania Daima June 29/2013)

Tusiulizane zitaenda wapi mulizeni Membe, taxi zote stop eti kisa Obama, barabara kupigwa deki eti kisa Obama, wananchi wasiende mjini aidha ktafuta riziki zao au mahitaji yakawaida eti kisa Obama, Namengne mengi yafananayo naunyanyasaji. Kiukweli hapa sichelei kusema HUU NI UPUUZI MTUPU.

Membe haya yote mnaishia kutusomea bajeti ya Ziara wakati kila kitu jamaa kaja nacho, aibu tupu mnajikosha, badilikeni viongoz. Lakini nawashukuru kuendlea kurefusha futi la kaburi manake kaburi mlishachimba la chama kilichomo serikalini.

Poleni wananchi
 
Point zinakatika katika hivyo nimeshindwa kupata picha kamili ya posting hii.
 
mimi alinishangaza pale aliposema wa mikoani ni vizuri wasisafiri kuja Dar,aisee huyu Membe hafai kabisa kuwa raisi yaani anajali sana wakuja kuliko watanzania.Huyu Membe ni kilaza namba moja
 
aiseeee babayangu jk na mawaziri wake wanafikiri umaskini unafichwa kwa kupiga deki barabara,kupaka rangi nyumba na kuweka maua bandia barabarani lazima tukubali sisi ni maskini wa kunuka na umaskini wetu umechangiwa kwa namna moja au njingine na c c m
 
Watoto wachafu wakacheze mbali wasituaibishe kwa mgeni.
nimemsikia kwenye radio leo asubuhi akirudia hili tangazo nikasikitika sana kusikia wito kutoka kwa waziri mzima wa mambo ya nje akisema hii week moja ni muda wa kutengeneza utajiri wa kutisha huku akihamasisha watu wafungue mighahawa, magari ya kukodisha nk maana wanakuja na pesa nying na za kila aina! Ni aibu hat kusikiliza na bado eti anautaka urais!
 
mimi alinishangaza pale aliposema wa mikoani ni vizuri wasisafiri kuja Dar,aisee huyu Membe hafai kabisa kuwa raisi yaani anajali sana wakuja kuliko watanzania.Huyu Membe ni kilaza namba moja

ccm hawawez kupata viongoz wenye akili timam kufuatia laana itokanayo na vilio vya watanzania vinavyotokana na unyama wanaoufanya kla pembe ya nchi.
 
nimemsikia kwenye radio leo asubuhi akirudia hili tangazo nikasikitika sana kusikia wito kutoka kwa waziri mzima wa mambo ya nje akisema hii week moja ni muda wa kutengeneza utajiri wa kutisha huku akihamasisha watu wafungue mighahawa, magari ya kukodisha nk maana wanakuja na pesa nying na za kila aina! Ni aibu hat kusikiliza na bado eti anautaka urais!
Hii nchi inajiendea tu.Hatuna viongozi.
 
Ulimaanisha nini ulipotuwaambia Watanzania kutoka mikoani wasije DAR kuanzia tarehe 01.7 hadi 5.7.2013?
Kama jamii inayopenda kujifunza vema tufanye tafakari juu ya ulichosema ambacho naamini ulikua ni ujumbe au maagizo ya serikali kwa wananchi. Katika kutafakari najiuliza:
· Hivi kweli ulimaanisha?
· Hivi ulifikiri kuhusu idadi ya watanzania wanaoingia Dar kwa siku na kinachowaleta Dar?
· Hivi ulifikiria athari ya maagizo yako kwa tija na uchumi wa watanzania wahusika mmoja mmoja na nchi kwa ujumla wake?

Nawasilisha
 
alizani! Obama kaamia dar!! Et naye yumo kwenye mbio za uraisi! Hovyoo! Hafaii! Kabisaaa!
 
Huyu waziri wa mambo ya nje wa tanzania ni Ovyo kabisa,ati anauota urais.. duuuu
 
Halafu huyu mende awe rais si yatakuwa majanga zaidi ya sasa, Hebu tubadirike jamaniiii eeeeeeiissshh..!!! INATOSHA kwa hawa wakoloni weusi kutunyima huduma muhimu sana kama Elimu, Afya ambayo ndio mtaji wao...
 
Back
Top Bottom