Atukilia
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 642
- 203
Tukiandaa kombe la dunia nadhani mwezi mzima tutakuwa offWaziri wa mambo ya nje bwana Benard Membe anapothubutu kusema eti kuimarisha ulinzi katika ujio wa Obama anawashauri waTz walioko mikoani wasiende Dar kwa kweli ametusikitisha sana, Membe mbona unavunja taratibu za misingi ya kiusalama, kwani ujio wa Obama ndio uzuie shughuli za kiuchumi za nchi, Membe unajuwa misingi namna ya kujipanga katika ulinzi leo unaivunja , nakumbuka wewe ulihudumu katika idara ya usalama wa taifa [TISS] enzi hizo ukiwa na akina marehemu Benald Walingozi,Peter Kuhanwa,Ally Nissi,Mwasokwa. n.k leo papara zako zinakupelekea siko.