Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
Yani huku mjini kumekua kweupee huku kariokoo napo ni mateja na wamachinga wanasombwa na kupelekwa sijui wapi, yaani obama katuletea mambo jamani mana huku k[koo toka asubuhi tigo mawasiliano hakuna kabisa.
Yani jumlisha na ile kauli ya membe ya jana ukuonekana unashangaa shangaa tu huku mjini unabebwa kurudishwa kwako au polisi, hehehehe kaaaaaaziii.
Yani jumlisha na ile kauli ya membe ya jana ukuonekana unashangaa shangaa tu huku mjini unabebwa kurudishwa kwako au polisi, hehehehe kaaaaaaziii.