si watangaze kuwa holiday week kabisa ili watu watulie majumbani? na kova akamalizia kuwa tuwe wakarimu, mgeni akiacha simu kwenye tax mpelekee kwenye hotel uliomwacha.
Obama Day was a national holiday celebrated in Kenya on November 6, 2008, in honor of Barack Obama's victory in the United States presidential election, 2008.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]
Shortly after the U.S. election result was announced, Kenyan president Mwai Kibaki declared the holiday, because Obama's father, Barack Obama, Sr., was Kenyan
Huu ni ujinga
umeshawatafuna viongozi wetu vyakutosha na bado wataendelea kuwa
mamburura mpaka wanaingia kaburini.Haiwezekani nchi yetu wenyewe halafu
tuwe watumwa kwa mtu ambaye hana manufaa kwa watoto wa kulima.Hawa
mwisho wao 2015
Huo ni zaidi ya utumwa. Kwa sababu anazungumza kinadharia tu
Angetueleza watu wote wanaoingia ni wangapi, na Dar es Salaam ina nafasi ya wageni wangapi wa hadhi gani
Sijui ni lini na sisi watu wenye ngozi nyeusi na nywele nyeusi na ngozi ngumu na nywele ngumu na akili ngumu tutapa uhuru kamili?
Kwa mwendo huu, hakika wangeliweza hilo wangelifanya. Leo nimeshuhudia vijana kituo cha basi pale karibu na Helenic Club wakiingizwa kwenye Canter...mie nikajua ni majeruhi wa ajali kumbe ni Safisha Jiji ujio wa BHO
wataamishwa wengi tena kwa kipigo kizitoKwa mwendo huu, hakika wangeliweza hilo wangelifanya. Leo nimeshuhudia vijana kituo cha basi pale karibu na Helenic Club wakiingizwa kwenye Canter...mie nikajua ni majeruhi wa ajali kumbe ni Safisha Jiji ujio wa BHO
Bado viongozi wetu ni dhaifu kwa mataifa makubwa
Sijui hata niseme nini!!:confused3:
Kama tumeambiwa tusiende mjini (na tusije Dar) si ingetangazwa basi ni 'public holiday' ili tukae nyumbani kabisa? Hivi ratiba ya ziara yake imeshatoka? Je huku kwetu Mbagala atafika? Akija tutampeleka Mbagala Kizuiani, Zakhem, Kwa nyoka, Mbagala kuu, Charambe, Nzasa, Mbande, Magenge 20, Kingugi, Kibonde Maji na Kwa Kisauti!