Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
Mkuu, Wote hao wakristo. Haiwezekani.

mkuu tukienda huko mbona alipokuwa kikwete na biral mbona wakritu wamekaa kimia ni muda wao lakn
pia upepo wa siasa ulivyo na kujiandikisha vijana wengi wanaotaka siasa za kujenga hoja kwa nguvu na mtu mkali inawapelekea kufanya hivyo hawana namna vinginevyo watawasumbua polisi au kupoteza wabunge wengi lazima wampitishe mtu ambaye amefanya kazi na wabunge ili waombe kura,
 
Natabili timu ya kwangu kulingana na upepo wa siasa ulivyo na kukubalika kwao ndani na nje ya ccm

1,MAGUFULI -RAIS
2,RAMADHANI -MAKAMU WA RAIS
3,MWANDOSYA -WAZIRI MKUU

1,magufuli kwa nini
hana kundi katika kuijenga ccm,mkali,mchapa kazi,anakubalika kuriko wote,anauwezo kuimili siasa za sasa kama amnavyoweza kuwashawishi wabunge.
2,jaji kwanini
watu hawamfaamu kwa siasa za sasa za kuchagua mtu sio cha hawezi kuisaidia CCM
3,Mwandosya
anakubalika lakini bado hajawatumika watanzania kama magufuli na tayari anaugomvi na mtu ndani ya ccm kitu cha kuleta makundi

Wakristo wote watatu itakuwa ngumu.
 
Bt ccm ilipofikia ...Makongoro to the rescue. ..yy tu ndo anaweza kuwaokoa
Sio judge sio nani
 
  • Thanks
Reactions: DSN
mkuu makongoro atakuwepo kwenye timu ya kampaini pamoja na mwakyembe hili kuzibiti hali yote maana watakuwa mawaziri,

Makongoro anauzika sana. Kwanza mnabania sana speech zake mkimpa promo makongoro angekuwa kwa sasa anaumiza kichwa baraza lake la mawaziri litakaaje.
 
Yetu macho maana mchakato ndiyo kwanza unaanza na Lila mtu hakubali kushindwa
.
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

MakongoroMakongoro is a joke... Zero agenda
 
Ni katika aina hizi za thread ndio unaweza kuona namna watu wa CCM wanavyojua udhaifu wa viongozi wao, viongozi wa serikali...

Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama
 
Wengi wetu tunaishi tunashinda tunalala na kuota tetesi. Mtakuja kushangaa Sana kit aka how a to me a CCM. Believe me without Lowassa the party will die a natural death!

Chama kipo na kitaendelea kuwepo, ukiona kundi Moja linajigamba kwamba mkikata jina fulani chama kinakufa tambua tu kwamba hao ni wahuni wachache sana hawana madhara.

Mwalimu Nyerere tunayemtumia kila siku kujenga hoja zetu aliwahi kusema hivi; " ukiona mtu anatumia pesa kuitafuta ikulu ujue tu huyo ni msanii hatufai atazirudishaje? Muogopeni kama ukoma."
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama
Unafaa kuwa CC ya CCM, ungetusaidia sana mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom