Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama
 
namshauri lowasa agombee urais wa zanzibar mana kuna wa zenji kina gustino na bilal wanagombea Tanganyika
 
Kwa vyovyote watamuweka Mwanamke (at least mmoja - Amina/Asha) na Mzanzibari (at leat mmoja - Bilali/Agustino). Hao watatu wengine ni guess work
Mnahangaika tu
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama

Mkuu utalia G Sam
kakupa ukweli asilimia 90
 
Hapo ni makongoro tu anafaa,mengine yale yale tu. Jaji,ameshuhudia maoni ya wananchi yanachakachuliwa amekaa kimya,leo hii awe rais.thubutu.

Kwani hata huyo Makongoro alisema nini?Wote wale wale tu.
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama

utasema yote illa Membe aka kichwa maji hawezi kuwa rais wa nchi ya watu wenye akili timamu
 
Tetesi hazitoki jikoni, maana ana uhakika na anachokwambia. Na kumbuka we ndo muhusika namba 2 uliyepata hiyo habari.
Wapo wenyewe. Subiri!!

Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!
 
Membe nasikia atakuwa mgombea mwenza wa Augustine....Asha PM
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama

Hahha ,leo umeamua kuuma na kupiliza.Hapa hata Maembe hatufai pia.
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

Haya, Kwa hiyo?
 
utasema yote illa Membe aka kichwa maji hawezi kuwa rais wa nchi ya watu wenye akili timamu
Nakubaliana na wewe. Membe hana sifa za kumuwezesha kuwa mkuu wa nchi. Ni mkurupukaji na mtu ambaye anaonekana ana tamaa binafsi ya madaraka. Pia katengeneza kundi ambalo ni hatari kwa mustakabali wa chama chetu. Lowasa, Membe, Mwandosya na Pinda ni watu ambao hawatakiwi hata kuingia kwenye tano bora
 
Mkuu kuna Uzi nimeleta humu wa mtia nia potential aliyeongezewa ulinzi n vitu halisi sio dhahania mkuu
Mkuu sijauona huo. Weka basi na tittle ili niufuatilie
 
Mmeanza Kujifinya Na Kulia Wenyewe, itakua ni hii, 1.amina salum ally 2. mizengo pinda 3. edward lowassa 4. bernad membe 5. gharib bilal
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom