Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!
uja kichaa..wanakwitaga we mwendawazimu
 
Kwa hiki nilichokiona leo Ukawa na Dr. Slaa pale Ubungo plaza kusema kweli kama si Makongoro basi CCM hawana chao Oktoba ..Dr.Slaa karudi kwenye fomu na hotuba yake ya leo imeiweka Ukawa patamu saaana kama mcharo wa shuleya mkoani
 
Siku zinaposonga naanza kukuona G Sam unapoteza Integrity yako. Piga ua kwenye best 5 hawezi kukosa kijana Kati ya Mwigulu Au Makamba halafu kwa taarifa yako huyo Ramadhani hata kwenye best 5 hayumo.
Kikao cha leo ni cha kusoma na kupitisha Ilani ya uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niandae jembe na kolea tayari kwa kuchimba kaburi la kumzika mtu na team zake zote.
 
Bilal, Pinda na Migiro wanafanya nini hapo??? MAGARASA AT THEIR BEST! Kama ni list ya kweli, ni Jaji vs kaka wa taifa!
 
Watanzania wenzangu rais wetu ajae ni Lowasa, hata jk analitambua hili,,huu ni uzushi tu
 
Mmeanza Kujifinya Na Kulia Wenyewe, itakua ni hii, 1.amina salum ally 2. mizengo pinda 3. edward lowassa 4. bernad membe 5. gharib bilal
Dah! Yaani katika orodha yako hakuna hata anayefaa.
  1. Amina Salum Aly hana experience na domestic politics. Pia Uzanzibari wake unaweza kuwa kikwazo kwa CCM kuweza kumpitisha katika kipindi hiki ambacho upinzani wanaingia kwenye game wakiwa united
  2. Mizengo pinda ni dhaifu na mkurupukaji. Pia afya yake ina walakini
  3. Edward Lowasa hapaswi hata kujadiliwa. Ni fisadi, ana visasi, ni muuaji na mtesaji na ni mgonjwa
  4. Benard Membe. Huyu naye ni mzigo ambaye hapaswi hata kuingia kwenye kumi bora. Ni dhaifu katika maamuzi, mkurupukaji, ana tamaa binafsi ya madaraka
  5. Gharib Nilal. Hili ni zigo jingine ambalo hata kuongea haliwezi. Uswahiba wake na fisadi Lowasa pia unampunguzia alama. Pia ni mzee. Kachoka
 
Wakuu, hizo ni tetesi na kwa kweli hapo nina uhakika na watatu tu ambao hadi sasa nimewathibitisha kuwa
Makongoro
Augustino
Asharose
Kwenye tano bora hapo anaingia Asha Rose tu. hao wengine tupa kuleeee!
 
Mmeanza Kujifinya Na Kulia Wenyewe, itakua ni hii, 1.amina salum ally 2. mizengo pinda 3. edward lowassa 4. bernad membe 5. gharib bilal

We ndo haswa umetuletea uzi sahihi,na mimi ndo tetesi nilizopewa leo
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama

Umechambua kimbea mbea mkuu...gharibu anafaa and asha naye pia anatosha coz wote ni watu safi kabisa
 
Ngoja niandae jembe na kolea tayari kwa kuchimba kaburi la kumzika mtu na team zake zote.
Hawa watu washajichimbia kaburi wenyewe tena la futi 30, wote wataingia humo humo, The President anajua vizuri sana maana ndo alikuwa mpimaji mkuu wa vipimo vya kaburi!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom