Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
Katika wajumbe wa kikao hiki cha leo nimemuona Wassira naye akiwemo. Ninavyojua ingekuwa ni kikao cha uchambuzi wa majina asingeruhusiwa kuhudhuria. G Sam kikao cha leo ni kupitisha Ilani ya Uchaguzi. Vile vile kauli ya Kikwete anasema watajadili kwanza changamoto zilizopo Hilo suala la majina badae.

Vyovyote iwavyo. Lakini mgombea wa CCM (soma rais wa Tanzania) ni jaji Ramadhani na makamu wa rais ni Asha Rose Migiro. Makongoro atakuwa waziri mkuu au katibu mkuu wa CCM. Hii ni habari ya uhakika na sio tetesi
 
Ngoja nijipe matumaini ila kama kweli jamaa wamemtoa wamechemsha mapema

mkuu badoajatolewa ccm sio wajinga wanajua upepo ulivyo ,kuwa na umani 12 ndo atapitishwa wakimtoa watakuwa wamejichanganya kiasi cha kushinda kwa shida na kupoteza wabunge wengi muno,watu wanachagua mtu sasahivi sio chama,
 
Apo umenena mkuu
 
Aiseee hii nchi sijui nihame kww miaka mitano ijayo
 
Nakumbuka enzi zile 2009-2010 kulikuwa na ka "nzi" kanaleta habari zote motomoto kutoka kwenye vikao vya cc vya CCM
Cc
Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Vyovyote iwavyo. Lakini mgombea wa CCM (soma rais wa Tanzania) ni jaji Ramadhani na makamu wa rais ni Asha Rose Migiro. Makongoro atakuwa waziri mkuu au katibu mkuu wa CCM. Hii ni habari ya uhakika na sio tetesi

mkuu wanataka hivyo wale wazee lakini wanabanwa na upepo wa siasa ulivyo wanatafutan mtu anaekubalika sana watu hawachagui chama sasahivi wanamchagua mtu MAGUFLI au mwandosya japo haziwezi siasa za sasa kama magufili ndo rais atatoka,
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!
Hiki chama kisambaratike hatuwezi piga hatu kama tutaendelea kuwa na chama dola hapa nchini.
 
Kuna tetesi kuwa Magufuli ameahidiwa wizara ya ujenzi ikiwa CCM itapita!

Hiyo kejeli. Yeye ndo aendelee kuwa tingatinga kama alivyowahi kusema Malecela? Hii siyo fair. Huyu mtu kawasaidia CCM kwa walichofanya kinachoonekana miongoni wa watanzania.
 
Hivi watu wanapoteza muda kujadili watu na chama chao wanao tufisadi na lasilimali zetu? Hivi watanzania mmelogwa? Kwa nni tusitafute namna ya kuwaweka UKAWA madarakani?
 
Kama ni hivyo basi Augustino ndio atachukua nafasi..ila sidhani kama siasa za bara ataziweza labda afunge kwa bao la mkono..
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

ya magamba waachie magamba!!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

Brother sasa hao vijana ndo ajira inaishia next week unataka kusema??
 
  • Thanks
Reactions: DSN
RAIS ATATOKA KWENYE HAWA SASA HIVI CCM WANAPIMA UPEPO KUONA NANI ANAKUBALIKA HILI WASITUMIE NGUVU NYINGI KUMUUZA KWA WANANCHI KATIKA UTUMISHI WAKE YAANI WANANCHI WAWE WANAMFAAMU,
1,magufuli
2,mwandosya
3,jaji ramadhani
Angalau lile kubwa la maadui halipo, list imetilia!
 
Natabili timu ya kwangu kulingana na upepo wa siasa ulivyo na kukubalika kwao ndani na nje ya ccm

1,MAGUFULI -RAIS
2,RAMADHANI -MAKAMU WA RAIS
3,MWANDOSYA -WAZIRI MKUU

1,magufuli kwa nini
hana kundi katika kuijenga ccm,mkali,mchapa kazi,anakubalika kuriko wote,anauwezo kuimili siasa za sasa kama amnavyoweza kuwashawishi wabunge.
2,jaji kwanini
watu hawamfaamu kwa siasa za sasa za kuchagua mtu sio cha hawezi kuisaidia CCM
3,Mwandosya
anakubalika lakini bado hajawatumika watanzania kama magufuli na tayari anaugomvi na mtu ndani ya ccm kitu cha kuleta makundi
 
mkuu wanataka hivyo wale wazee lakini wanabanwa na upepo wa siasa ulivyo wanatafutan mtu anaekubalika sana watu hawachagui chama sasahivi wanamchagua mtu MAGUFLI au mwandosya japo haziwezi siasa za sasa kama magufili ndo rais atatoka,

Mkuu labda nikuambie... jaji Ramadhani hakuchukua fomu ''kujaribu zali''. Alihakikishiwa kila aina ya msaada. Hao kina Mwandosya hawana kitu. Na Asha anaingia kwasababu ya gender yake. Makongoro ni ''mwiba'' wa ku-netralize kina Mamvi. Kama huamini subiri.
 
uko sahihi hila umesaau mtu pekee waa kuwasaidi ccm mwaka huu na anayekubalika hata kuriko wote hao kuringana na siasa za upinzani zilinyo, MAGUFULI
kuwasaidi = kuwasaidia
kuriko = kuliko
kuringana = kulingana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom