Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
Kama ni hivyo basi Augustino ndio atachukua nafasi..ila sidhani kama siasa za bara ataziweza labda afunge kwa bao la mkono..

ndo kitu kinachomnyima nafasi maana hawakumuanda mapema ili watu wamfaamu ,na kulingana na siasa za sasa wakijaribu kufanaya hivyo watapata shida sana kushinda au watapoteza wabunge wengi muno,
mtu wa kuwaombea kura wabunge na watu wakaamini kuringana na utendaji kazi wake ni magufuli tu,
 
Natabili timu ya kwangu kulingana na upepo wa siasa ulivyo na kukubalika kwao ndani na nje ya ccm

1,MAGUFULI -RAIS
2,RAMADHANI -MAKAMU WA RAIS
3,MWANDOSYA -WAZIRI MKUU

1,magufuli kwa nini
hana kundi katika kuijenga ccm,mkali,mchapa kazi,anakubalika kuriko wote,anauwezo kuimili siasa za sasa kama amnavyoweza kuwashawishi wabunge.
2,jaji kwanini
watu hawamfaamu kwa siasa za sasa za kuchagua mtu sio cha hawezi kuisaidia CCM
3,Mwandosya
anakubalika lakini bado hajawatumika watanzania kama magufuli na tayari anaugomvi na mtu ndani ya ccm kitu cha kuleta makundi

Samahani mkuu unatujazi thread wakati unaandika pumba sana..
 
Natabili timu ya kwangu kulingana na upepo wa siasa ulivyo na kukubalika kwao ndani na nje ya ccm

1,MAGUFULI -RAIS
2,RAMADHANI -MAKAMU WA RAIS
3,MWANDOSYA -WAZIRI MKUU

1,magufuli kwa nini
hana kundi katika kuijenga ccm,mkali,mchapa kazi,anakubalika kuriko wote,anauwezo kuimili siasa za sasa kama amnavyoweza kuwashawishi wabunge.
2,jaji kwanini
watu hawamfaamu kwa siasa za sasa za kuchagua mtu sio cha hawezi kuisaidia CCM
3,Mwandosya
anakubalika lakini bado hajawatumika watanzania kama magufuli na tayari anaugomvi na mtu ndani ya ccm kitu cha kuleta makundi

Makongoro unamuachia nani katika siasa za ukawa? Mnajipenda kweli?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mkuu labda nikuambie... jaji Ramadhani hakuchukua fomu ''kujaribu zali''. Alihakikishiwa kila aina ya msaada. Hao kina Mwandosya hawana kitu. Na Asha anaingia kwasababu ya gender yake. Makongoro ni ''mwiba'' wa ku-netralize kina Mamvi. Kama huamini subiri.

ni kweli ila tatizo hata wakimpeleka kwenye 3 bora kati ya MAGUFULI,MWANDOSYA NA YEYE apigiwe kura wabunge, na wajumbe, hawawezi kukubali kumpigia kura maana wanajua atakuwa mzingo kwao kumuuza kwa wananchi,upepo wa siasa unawalazimu wampe nafasi magufuli,maana hali ya siasa imebadilika,
 
Humu watu wanaota si muwaachie hao CC wafanye yao.
 
Bila Lowassa haitawezekana na hapatakalika hapa Tz.
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

huyo HEXAGON mtoeni hafai
 
Katika siku ulipozingatia UTAIFA kwanza ni leo ,Hongera hata Maembe hatufai ni ukweli mtupu.Japo wapo wakaokuja kwa nguvu kukutusi,lakini usijali useme ukweli japo mchungu
Ahsante Mkuu Tetty. Nimeapa kusema ukweli tupu japo kuna watu wanakereka
 
Natabili timu ya kwangu kulingana na upepo wa siasa ulivyo na kukubalika kwao ndani na nje ya ccm

1,MAGUFULI -RAIS
2,RAMADHANI -MAKAMU WA RAIS
3,MWANDOSYA -WAZIRI MKUU

1,magufuli kwa nini
hana kundi katika kuijenga ccm,mkali,mchapa kazi,anakubalika kuriko wote,anauwezo kuimili siasa za sasa kama amnavyoweza kuwashawishi wabunge.
2,jaji kwanini
watu hawamfaamu kwa siasa za sasa za kuchagua mtu sio cha hawezi kuisaidia CCM
3,Mwandosya
anakubalika lakini bado hajawatumika watanzania kama magufuli na tayari anaugomvi na mtu ndani ya ccm kitu cha kuleta makundi

Mkuu, Wote hao wakristo. Haiwezekani.
 
Bila Lowassa haitawezekana na hapatakalika hapa Tz.

kwanini vitisho watu tayari wameishamaliza kazi lakini lowasa ajiraumu mwenyewe migogoro yake mwenyewe na viongozi wake na kujiona yeye ni bora kwenye chama cha watu ndo kitampoza angetulia tu na kufanya kazi wangempitisha ,pia nafikiri washauri wake watakuwa wamempoza na kumualibia marengo
 
Wengi wetu tunaishi tunashinda tunalala na kuota tetesi. Mtakuja kushangaa Sana kit aka how a to me a CCM. Believe me without Lowassa the party will die a natural death!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom