Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,339
- 144,836
Kama ni maoni tu haina shida
nilifikiri umethibitisha hafai
Mtazamo wangu ni kwamba huyo jamaa ni bomu na hafai kabisa kuwa rais wa Tanzania.
Afadhali hata Agustino Mahiga kuliko huyu Agustino Ramadhani.