G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,463
- 39,891
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere
Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere
Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!