Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
RAIS ATATOKA KWENYE HAWA SASA HIVI CCM WANAPIMA UPEPO KUONA NANI ANAKUBALIKA HILI WASITUMIE NGUVU NYINGI KUMUUZA KWA WANANCHI KATIKA UTUMISHI WAKE YAANI WANANCHI WAWE WANAMFAAMU,
1,magufuli
2,mwandosya
3,jaji ramadhani
Hapo Magufuli anafaa zaidi
 
endelea kuandika tetesi uhakika unakuja

andaa pampasi ukisikia jina la lowassa limo
 
Sina imani kama Rose anaweza mikiki ya post ya PM. Ramadhani naye hana uzoefu wa siasa. Yeye alikuwa mtumishi wa kawaida tu.

kwa upepo huu wasiasa unampitisha, Asha,ramadhani,pinda,
MAGUFLI kwa namna alivyowatumikia watanzania na alivyo na uwezo wa kujenga hoja ndo anaweza kuwasaidia,
 
Yaani hiyo orodha yako ni dhaifu sana
  1. Jaji Augustino Ramadhani bado ana mgogoro wa kikatiba. Yes ni mzanzibari, ila sifa za kugombea Urais hana
  2. Asha Rose, yes ana sifa. But is too early for our country to be under Beijing regime. Pia ni Muislam hivyo dhana ya kubadilishana baina ya waislam na wakristo itakuwa haijatendewa haki yake.
  3. Bilal ni kiongozi dhaifu kupita maelezo. Hata kuongea hajui sijui tutakuwa na Rais wa aina gani. Pia kitendo cha kuungana na fisadi Lowasa kinampunguzia credibility.
  4. Pinda ndo kabisaaa! Hafai hata kidogo. Ni mkurupukaji na mtu mwenye maamuzi mabovu
  5. Makongoro ni mropokaji na mtu mwenye visasi. Pia nyenendo zake nje ya uongozi zina mashaka. Pia uamuzi wake wa kukimbia CCM na kwenda upinzani kunaweza kumpunguzia alama

Mkuu katika hoja zako sijaona point yoyote. Tunachagua mtanzania au dini? Pili kuhama chama ndio sifa ya kuwa kiongozi?
 
Katika wajumbe wa kikao hiki cha leo nimemuona Wassira naye akiwemo. Ninavyojua ingekuwa ni kikao cha uchambuzi wa majina asingeruhusiwa kuhudhuria. G Sam kikao cha leo ni kupitisha Ilani ya Uchaguzi. Vile vile kauli ya Kikwete anasema watajadili kwanza changamoto zilizopo Hilo suala la majina badae.
 
Last edited by a moderator:
kwa upepo huu wasiasa unampitisha, Asha,ramadhani,pinda,
MAGUFLI kwa namna alivyowatumikia watanzania na alivyo na uwezo wa kujenga hoja ndo anaweza kuwasaidia,

Hata mi sioni yeyote mbali na Magufuri ambaye angeweza kuwapaisha CCM. mbali na hapo hakuna jipya hapo!
 
Ni kweli. 2 toka Zenj na 3 toka Bara akiwemo mwanamke 1 na kiongozi mwandamizi wa serikalini kutoka kundi la Bara. Pima mwenyewe nafasi ya EL. Ni kama haipo!
 
Ni kweli. 2 toka Zenj na 3 toka Bara akiwemo mwanamke 1 na kiongozi mwandamizi wa serikalini kutoka kundi la Bara. Pima mwenyewe nafasi ya EL. Ni kama haipo!

haipo wala na hawezi kuonekana,
 
Mimi ni mwanaccm ila bila Makongoro ccm tutatumia nguvu nyingi sana kushinda uchaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kama magufuli wamemtoa kura yangu hawana aisee....

sio wewe tu wengi wanasema kwetu huku vijijini ndo mtu wanaemtegemea kuondoa uvivu wa watendaji wa serikali wa kukaa ofisini,lakini wanasema kazi yake kati ya wote ndo inaonekana nchi nzima,
 
Mkuu katika hoja zako sijaona point yoyote. Tunachagua mtanzania au dini? Pili kuhama chama ndio sifa ya kuwa kiongozi?
Mengine utajiongeza mwenyewe. Hiyo ni tathmini yangu. Na wewe unaweza kuchambua kwa vigezo vyako
 
sio wewe tu wengi wanasema kwetu huku vijijini ndo mtu wanaemtegemea kuondoa uvivu wa watendaji wa serikali wa kukaa ofisini,lakini wanasema kazi yake kati ya wote ndo inaonekana nchi nzima,

Ngoja nijipe matumaini ila kama kweli jamaa wamemtoa wamechemsha mapema
 
Ni kweli Mkuu. Hata Membe hawezi kuwa Rais wa Watanzania. Tutakuwa tumelogwa ikiwa tutaamua kumchagua Membe

Katika siku ulipozingatia UTAIFA kwanza ni leo ,Hongera hata Maembe hatufai ni ukweli mtupu.Japo wapo wakaokuja kwa nguvu kukutusi,lakini usijali useme ukweli japo mchungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom