Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,554
Anatajwa kuwa ni msaliti coz aliwahi kuhama chama.Pia fomu za Urais zimeweka kipengele hicho.
Wasaliti wote wanaandaliwa na CCM kwa hiyo hawawezi wakamuita mwenzao msaliti wakati wenyewe ndio wanaofanya kazi ya kuwaandaa wasaliti labda kama kawasaliti kwa kukataa kushirikiana nao katika suala la kuandaa wasaliti.