Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

Nimeisikia Clouds FM Breaking News!, watu zaidi ya 200 wazama!. Mode iweke hii rasmi kama breaking news!. Imezamia pale pale pa ile boti ya MV Islanders, karibu na kisiwa cha Chumbe!.

My God!.

May the Lord Our God, Rescue Them!.

Pasco vipi report yako? Chumbe ni kisiwa kile chenye mnara mwisho wa Tanganyika na mwanzo wa Zanzibar. Na Nungwi ni kaskazini magharibi mwa Zanzibar. so ni sehemu tofati na ajali ya meli ile ya Mv. Spice Islander.
 
Ya jana iliokolewa ilikuwa inaelekea pemba, hii imetokea leo saa 9 ilikuwa inatoka Dar kwenda Zanzibarimepinduka bado haijazama imekuwa kama ile ya Mv Bukoba
Mungu azinusuru roho za abiria wote
 
kikwete anamalizia kafara zake before 2015! hii imekaaje zomba? au ni chadema wamesababisha!??!! chama cha mazandiki! puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Watakutukana huku mama,twende zetu kwetu chit chat
 
Last edited by a moderator:
Ya jana iliokolewa ilikuwa inaelekea pemba, hii imetokea leo saa 9 ilikuwa inatoka Dar kwenda Zanzibarimepinduka bado haijazama imekuwa kama ile ya Mv Bukoba
Mungu azinusuru roho za abiria wote


asitokee mjinga akaitoboa kama ilivyokuwa kwenye mv bukoba....yule mkuu wa mkoa basi tu kwa vile amekufa majuzi
 
Naona hata Rashidi hamadi kaomba bunge liahirishwe spika makinda kachomoa anasema anasubiri ripoti ya serikali, sasa naona wabunge wengi wametoka nje!
 
Jamani wadau tuwekane sawa, kwa uelewa wangu mimi(nirekebisheni iwapo nimekosea) Mv Karama na Mv Seagul ni meli moja hiyo hiyo au ya kampuni moja,kwani ukiiangalia Mv.Karama ikiwa imepaki pale bandarini Dar kwa pembeni imeandikwa Mv.Karama lakini ina label zote ndogondogo za Mv.Seagul hata pale karibu na IMO Number. Utofauti mwingine ni kwamba iliyobadiliaka ni rangi tu,labda hapa tuambiwe seagul iwapo ndio waliiuza kwa karama au waliamua vyombo vyao kuviita kwa majina tofauti,but Karama si meli mpya hata kidogo.
 
Meli iliyo zama ni SKAGIT sio SEAGULL ila zote zipo kampuni moja ya Sea Transport. Offcoz leo pale bandari iyo meli ilikuwa na abiria 200 na watoto wapato 30. Wakati inaondoka hapa Dar mida sa 6 mchana, upepo ulikuwa mkali sana katika pwani yote ya TZ. Ilipo kuwa inakaribia ZNZ iyo meli iliziwa na upepo na ikapelekea kupinduka. Super Sea Bus III ndio iliyo kuwa boat ya kwanza kufika kuwaokoa lakini kutokana na uwo upepo meli ilizama alaka kwahyo ikashindwa kuwaokoa watu.
 
Ni MV Kalama Mkuu. Ilikuwa na abiria approximately 200. Capacity yake ni 250. Inazo lifeboats za kutosha watu 300 na lifevests pia za kutosha 260. Wengi wameokolewa na habari nilizo nazo ni kuwa process ya kuokoa bado inaendelea.

afadhali mkuu unatupa moyo bwana!
inawezekana wengi wakapona!
 
Ni MV Kalama Mkuu. Ilikuwa na abiria approximately 200. Capacity yake ni 250. Inazo lifeboats za kutosha watu 300 na lifevests pia za kutosha 260. Wengi wameokolewa na habari nilizo nazo ni kuwa process ya kuokoa bado inaendelea.



mkuu kuna taarifa zinatiririka kuwa watu wengi wamekufa maana upepo ulikuwa mkali sana na wengi wamepoteza maisha
 
bbcworld news wametangaza kwa urefu ila cha kushangaza mi tv yetu inaweka miziki tu
 
Acha ujinga, nilikuwa nazungumzia jinsi upepo ulivyokuwa mkali leo morning fulani kuelekea mchana, kuappriciate huyo aliyesema kuwa kulikuwa na upepo mkali, na kwake alihisi pengine ulisababisha Bahari kuchafuka, kutibuka, na kusababisha hiyo ajali, sikuwa karibu na bahari, so niliuelezea upepo ulivyokuwa maeneo ya kwetu, halafu kajifunze Kiswahili vizuri, "ana nguo", maana yake "anayo nguo" so ulipaswa kuandika "kwani nani hana nguo" sio " kwani nani ana nguo"!, Mimi sio mtaalam wa Kiswahili, lakini hapo naona uko wrong!
 
huu uzi uko jukwaa la siasa ina maana hii meli imezama kisiasa zaidi au?

Ni kwasababu "WAMETHUBUTU WAMEWEZA NA WANASONGA MBELE"
Hii ndio motto inayoendesha kila kitu na unatamkwa kwa kila kitu huko Tz; Kuanzia siasa, uongozi, uchumi, usalama,... malizia mwenyewe.
 
Mtumeeee
Selikali hapa inapaswa kuwajibika Kuanzia Waziri hadi Takataka nyingine zinazo husika... Sumatra nanyie Muwajibike Kwanini muache Meli mbovu ziendelee kusafirisha Abiria?
mkuu silver, meli hiyo ndo mojawapo ya meli zilizosajiliwa na sumatra ya zanzibar, wenyewe wanaiita ZMA (znz maritime authority) na kina mamlaka kama ya sumatra huku tanganyika.
naweza kuconfirm kuwa chombo hiki zma hakina uwezo bora hili jukumu lichukuliwe na sumatra. watu wetu wataendelea kufa hadi lini? zma haina uwezo haya majukumu mazito kwa kweli hawawezi watuachie tanganyika tusimamie.
 
Baada ya kusoma breaking news ya hapa JF, nikakimbilia TV ya taifa kuona wao wanasema nini kutudhibitishia kutokea ajali hiyo. Sasa ni zaidi ya saa nzima hawa jamaa wanaendelea na mavipindi yao yasiyo na mbele wala nyuma. AIBU.
Mataifa mengi Redio na TV za Taifa zinakuwa za kwanza kutaarifu majanga yatokeapo lakini hizi za kwetu ni za kwanza kueleza kifo cha kiongozi wa UVCCM Ndago Iramba na kuwa Chadema wanahusika.
Ukombozi ukitokea TBC ivunjwe

Chakaza
You made my day!
 
Last edited by a moderator:
inasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana

Update:
Ilikua na abiria 200 na juhudi za uokoaji zinaendelea na tayari baadhi ya watu wameokolewa wakiwa hai na wengine bado wanaelea wakiwa na maboya. Taarifa za vifo bado hazijathibitishwa japo ukweli ni kwamba vifo vipo. Meli hiyo imewahi kuripotiwa kuwa mbovu mara kadhaa.
View attachment 59156

hii ni boat au meli maana kila mtu meli rip wote..
 
Back
Top Bottom