Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

Bora ulivyomwambia!, Breaking news kwa kawaida huwezi kuwa na data zote kuhusu habari, mfano, watu wangapi wamefariki, chanzo halisi cha ajali n.k, but unaweza kujua ni jina gani la meli, ilikuwa inakwenda wapi, ni ya uwezo wa kubeba abiria wangapi, imezama wapi n.k, habari ikishakaa sawa ndio itabeba vitu vingi zaidi, cause unaweza hata kupata chance ya kuhoji watu mbali mbali kupata details mbalimbali muhimu wakishatulia akili
Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuu
 
inasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana
Nimeisikia Clouds FM Breaking News!, watu zaidi ya 200 wazama!. Mode iweke hii rasmi kama breaking news!. Imezamia pale pale pa ile boti ya MV Islanders, karibu na kisiwa cha Chumbe!.

My God!.

May the Lord Our God, Rescue Them!.
 
Poleni sana wafiwa... nasikia ni upepo ulikuwa mkali meli ikazidiwa
 
Unawezaje kutia mzaha kwenye jambo kama hili linalolisibu Taifa?
Mwenye habari zaidi atujuze jamani! Tafadhali ninaomba.
 
Tvz dk moja iliyopita nao wametangaza kuwa inasadikiwa kuzama hawana bado taarifa ya kina
 
Mungu Ibariki Zanzibar


attachment.php
 
Meli ya seagel imezama huko znz na inadhaniwa ina watu 2,000 ilikuwa inatoka dar kwenda znz.
 
Wanajavini kuna mtu kapigiwa simu kuwa kuna boat imepata ajali ilikuwa inatoka zanzibar inasadikiwa wamekufa watu 200
 
huu uzi uko jukwaa la siasa ina maana hii meli imezama kisiasa zaidi au?
 
kweli hii ndio TZ tunajitangaza kwa ajali........ huko tuendako nafikiri tutakuwa maarufu kwaajili ya majanga tu si kingine
 
I pray ilikuwa na vyombo vya uokoaji kama vile Life jackets, boat etc. Lets pray for them.
 
Back
Top Bottom