Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

inasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana

Update:
Ilikua na abiria 200 na juhudi za uokoaji zinaendelea na tayari baadhi ya watu wameokolewa wakiwa hai na wengine bado wanaelea wakiwa na maboya. Taarifa za vifo bado hazijathibitishwa japo ukweli ni kwamba vifo vipo. Meli hiyo imewahi kuripotiwa kuwa mbovu mara kadhaa.
View attachment 59156

Inasikitisha kusikia eti mpk sasa kikosi cha wokozi hawajaanza kazi eti wanasubiri mafuta na meli ndo inaendelea kuzama.
 
SHIPS NAME SEAGULL-K
NATIONALTY TANZANIA
EX.NAME HARBOUR GEMINI
PORT OF REGISTERY ZANZIBAR
PLACE AND YEAR OF BUILT JAPAN 23/05/1984

OFFICIAL NO 300054
IMO NO 8323159
MMSI NO 677019700
CALL SIGN 5IM297
SEA AREA A1+A2+A3
TYPE OF SHIP G.C
GRT 4908
NRT 3102
SUMMER DWT /DWCC 7988 /7600 m.t
SUMMER DRAFT 7.235 m
LOA 110.33 m
BREADTH 18.3 m
DEEPTH 9.35 m
LBP 102.00 m
FWA 155 mm
TPC 16
HIGHEST POINT 37.92 m
HOLDS DIM HOLD NO 1 : 37.8 X 18.3 X 8
HOLD NO 2 : 39.2 X 18.3 X 8
HATCHES DIM (mcgregor) HATCH NO 1 : 29.4 m X 10.2 m
HATCH NO 2 : 32.2 m X 10.2 m
HOLD CAPACITY HOLD NO 1 : GRAIN : 4853.2 CBM BALE : 4534.75 CBM
HOLD NO 2 : GRAIN : 5586 CBM BALE : 5296.59 CBM
TOT GRAIN : 10439.2 CBM TOT BALE : 9831.34 CBM
ALLOWABLE LOADS ON TANK TOP (HOLDS) 7.50 M.T/m2
ON DECK 3.00 M.T/m2
ON HATCH COVERS 2.70 M.T/m2
DERRICKS NO 1: 10T NO 2: 15T NO 3: 15T NO 4: 10T
ENGINE ONE UNIT B&W, 2T-7CYLINDER 35X105 DIESEL ENGINE DEVELOVING 4760 HP@200
RPM
AUX : 2 YANMAR TYPE : 6RL-HT 250 KVA, 445 V, 60HZ
SPEED 13 kn
PROPELLER FIXED
LIGHT SHIP 2558.01
TANKS CAPACITY (BALAST) 1200 m3
TANKS CAPACITY (FUEL OIL) 572 m3
TANKS CAPACITY (DIESEL OIL) 82 m3
TANKS CAPACITY (F.W) 120 m3
CLASS BULGARIAN REGISTER OF SHIPPING
( B.R.S )
P&I CLUB RAETSMARINE
OWNER SEA PRIDE MARITIME CO. S.A
TRUST COMPANY COMPLEX,AJELTAKE ROAD, AJELTAKE ISLAND
MAJURO, MARSHALL ISLANDS
IMO ID : 5657133
MANAGER ISLAND NAVIGATORS MANAGEMENT CO
QUARANTINE MINA TOWER 5TH FLOOR
BEIRUT, LEBANON
IMO NO : 5285022
BARHOUM MARITIME CO .SHIPOWNER-MANGEMENT-BROKER-CHARTERS
NORTH THE POST OFFICE ALJAZAERSTR.4P.O.BOX:63 SYRIA-TARTOUS
-tel : + 963 43 312017 – 18
-fax : + 963 43 312020
-mob:+96399467oooo mob:+963933433218
- YMAIL:seagull30@...
-G.MAIL:seagull.othman@...
skype😱mhamad.othman
best regards
CAPT MOHAMAD OTHMAN
 
From MZALENDO.NET comments:-

best leader 18/07/2012 kwa 1:01 um · Ingia kujibu

dua kwa wingi tuwaombeeni ndugu zetu
tulikuwa kwenye boti ya klnjaro 3,tukaipita boti hiyo ya KALAMA{SEAGULL}
maeneo ya karibu na chumbe kutoka dar,
ilikua inayumba kwa mawimbi makali yaliokua yakisababishwa na upepo wa leo.
baada ya dakika kama 25 ikiwa iko nyuma yetu tuliiona ikibiruka na kuzama upande mmoja
watu wote tuliokuwa kwenye k.njaro 3.sehemu ya juu tuliliona tukio hilo.
captein wetu hakuweza kurudi kwenda kutoa msaada nadhani ni kwa sabbabu ya kwamba nayo k.njaro ilikuwa imejaza abiria wengi,hivyo aliona ni bora kwanza kutufikisha znz.
tulipofika tu znz akashusha abiria na kugeuza kwenda kwenye tukio.
ilituchukua kama mda wa saa 1 na dakika 25 tokea kuiona boti ikiwa inazama hadi sisi

kufika bandarini znz
 
Inasikitisha kusikia eti mpk sasa kikosi cha wokozi hawajaanza kazi eti wanasubiri mafuta na meli ndo inaendelea kuzama.

NI UJINGA! IWEJE BOTI ZA UOKOAJI ZIKAE BILA MAFUTA? Mbona magari ya maofisi hayaishiwi mafuta!
 
Mmh, sio Mkapa ndio alisema itobolewe!


aliyetoa kauli ile ni ni mkuu wa mkoa na alikuwepo eneo la tukio ...sijui kama nae alipokea maagizo toka kwa nkapa..niliuwepo na nilimsikia sana hata alipokataa ushauri aliopewa na watu wa kamanga ferry ( nilimokuwa) juu ya kuivuta meli ile na si kuitoboa
 
Hii ni tofauti na ile iliyoripotiwa jana na vyombo vya habari kuwa ilizima ikiwa
safarini ikitokea unguja akielekea Pemba?Duuh! inatisha.
 
bbcworld news wametangaza kwa urefu ila cha kushangaza mi tv yetu inaweka miziki tu

Ndio watanzania wanazipenda hizo. Hawana time na unayowaza. Mbunge mmoja amewahi kutahadharisha hili kuwa "NCHI INAPOTEZA NGUVU KAZI KWA STAREHE, ANASA NA KUKAA VIJIWENI. Wengine wanaripoti bar tangu asbh..." Hawa ndio wateja wa hizo media.
 
Kwa hali ilivyo sasa, si ajabu tukaambiwa jioni katika news " HAKUNA MELI ILIYOZAMA", Nchi hii raha sana ukishaijulia!!!!!!! Waokozi jamani jitahidini kuokoa ndugu zetu!
 
Du tumbo linaniuma poleni sana wasafiri na ndugu zangu watanzania, mm nilitokea huko mwezi uliopita inasikitisha sana km masaa hawajaokolewa na nimemsikia Munir Zakaria katika Channel ten anatujuza

na hili la Bukoba Mkuu wa mkoa yupi aliyetoa wazo la kipumbavu km hilo la kutoboa maana alikuwepo Mang'ula wa kagera na mwenzake wa Mwanza au ni yule aliyekuwepo Mwanza Du msitukumbushe
aliyetoa kauli ile ni ni mkuu wa mkoa na alikuwepo eneo la tukio ...sijui kama nae alipokea maagizo toka kwa nkapa..niliuwepo na nilimsikia sana hata alipokataa ushauri aliopewa na watu wa kamanga ferry ( nilimokuwa) juu ya kuivuta meli ile na si kuitoboa
 
Poleni sana wafiwa wote, kwake ALLAH na kwake tu ndio marejeo yetu,... INNA LILLAH WA INNA ILAIHI RAAJIUU'N
 
Ni pm tutaongea zaidi, usijali.
Na wewe na imani hizo bado tu.. haya Mumiani kataka kafara zake, Zanzibar haiwezi kuwa huru hadi hesabu ya vifo fulani itimie maana meli zote zinatoka Pemba kwenda Unguja..
 
Back
Top Bottom