KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
Mkuu umenena vema lakini umeharibu hapo kwa red. Usiwe biased kiasi hicho, au una uhakika wanaume hawamo?
wafao wengi ni hao nlowataja kaka hata kesho utackia
Mkuu umenena vema lakini umeharibu hapo kwa red. Usiwe biased kiasi hicho, au una uhakika wanaume hawamo?
mara mv seagul mara mv karama....ni meli ipi hasa imezama?
Kumbe hata meli zinazidiwa na upepo, mi nilidhani mashua tu, au kulikuwa na mawimbi ya kitafranitafrani
poleni sana waZNZ...ila jukumu la kuokoa inabidi muwaachie waBara,iyo shughuli inaitaji watu wakakamavu..
PIcha hizi zilipigwa mapema na abiria aliyekua angani kwenye ndege baada ya pilot kuspot hiyo meli
![]()
watu wanajadili vitu vya maana kama ubovu wa meli we unatangaza eti nguo zimekauka nani ana nguo?