Kwa picha hii tutajuaje kama hapo ni Dar es Salaam Mkuu, embu jiongeze
Nimemuona Mama Asha baraka hapoMkuu mboma kwa pembeni yanaonekana yale magorofa pacha marefu ya bandari nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.