Kwetuntwara
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 227
- 151
Watu/wafanyakazi walitegemea makubwa sana baada ya rais kubadilika ila ukweli yeyote angekuwa rais kwa mda huu asingeweza kuongeza mishahara. Fedha nyingi sana inaenda kwenye miradi ya maendeleo, pia kuongeza mishahara kunahitaji mipango ya at least mwaka ili kupanga bajeti endelevu.Mtangulizi wake hakuwa na huo mpango ĺwa sababu ambazo alizielewa yeye binafsi zaidi.Uzi hautembei tena