Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Uzi hautembei tena
Watu/wafanyakazi walitegemea makubwa sana baada ya rais kubadilika ila ukweli yeyote angekuwa rais kwa mda huu asingeweza kuongeza mishahara. Fedha nyingi sana inaenda kwenye miradi ya maendeleo, pia kuongeza mishahara kunahitaji mipango ya at least mwaka ili kupanga bajeti endelevu.Mtangulizi wake hakuwa na huo mpango ĺwa sababu ambazo alizielewa yeye binafsi zaidi.
 
Swali fikirishi...

Hivi Bi Mkubwa nae bado anapokea mshahara wa Makamu Raisi?

Au ameshapanda daraja na kuzoa mshahara na marupurupu ya mtagulizi wake???

Au hadi mwakani ndio atapandishiwa na watumishi wote?
 
Hiyo mimba uliyodungwa chato itakutoa roho
Katika hali ya kawaida kabisa, mwanaume hawezi kudungwa mimba....

Ila mwanaume kuwa shoga kama wewe... inaeleweka kabisa...

Ushauri mdogo kabisa kwako ni mmoja tu... acha tabia mbaya.......
 
Tena nadhani hata hiyo mwakani ni karibu sana kwakweli ilifaa hata baada ya miaka 3 mpaka 4 angalau baadhi ya miradi ikamilike.

Hata Hayati Magufuli alitegemea kuwaongezea Donge nono lkn baada ya miradi ya kimkakati kukamilika.......huenda ingekuwa 2023 au 2024.

Kama kweli watumishi wanataka wanufaike zaidi na donge nono bora wawe wavumilivu mpaka 2024
 
Najua wengi mlikuwa na matumaini makubwa kuwa mshahara ungeongezwa. Hata hivyo haijawa hivyo, ila nawatia moyo kuwa endeleleeni kuvuna subra. Njia mlotumia kwa miaka sita ilopita endeleleeni kuiboresha... Mwakani sio mbali tuombe uzima... MAUMIVU YANAENDELEA..
 
1619905900386.png
 
"Ccm ni ile ile, oooh ni ile ileee" R.I.p John Komba, kale ka wimbo kalikuwa katamu sana! Kazi iendelee . .............
 
Kwendraaaa😏 mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
 
Ndugu Zangu Mshahara Hata Mimi Haunitoshi
Najiuliza Tugawane Pesa Na Hii Miradi
Kwenye Utawala Wangu Mimi Sitaongeza Tshs 10000/- Chapeni Kazi Mniamini
JPM
🖒😅😆😁😀😂😃
 
Kama mnaona mshahara hautoshi si muache kazi mfanye mambo mengine? Mbona hawa wasomi wanakuwa na akili za ajabu kiasi hiki?

Kila siku ni kulalamika na kufedheheshwa na serikali ila bado hawashituki. Siku mkijitambua nyie ni nani ndipo mtakapogundua kuwa Ajira ni utumwa.

"EMPLOYMENT IS A NEW VERSION OF SLAVERY"
 
Najua wengi mlikuwa na matumaini makubwa kuwa mshahara ungeongezwa. Hata hivyo haijawa hivyo, ila nawatia moyo kuwa endeleleeni kuvuna subra. Njia mlotumia kwa miaka sita ilopita endeleleeni kuiboresha... Mwakani sio mbali tuombe uzima... MAUMIVU YANAENDELEA..
Nitawashangaa wafanyakazi Kama wataenda kujianika uanjani mwakani maana hawakomi, miaka sita maneno yaleyale ,na mda wote mwaenda njianika uwanjani achaneni na Mambo hayo , Iyo siku Kama hamna Cha kufanya nyumbani Basi lala hasa nyie walim hivi pamoja na kutunga nyimbo kila mwaka huwa hamkomi,
 
Swali fikirishi...

Hivi Bi Mkubwa nae bado anapokea mshahara wa Makamu Raisi?

Au ameshapanda daraja na kuzoa mshahara na marupurupu ya mtagulizi wake???

Au hadi mwakani ndio atapandishiwa na watumishi wote?
maswali ya kitoto
 
Kwa nini benki ya NMB ilipewa dhamana ya kupitishia mishara ya watumishi halafu bado Benki hiyo haiwakomboi wafanyakazi?
bado Riba kubwa, hakuna mikopo ya biashara wala mikopo ya kunua gari kama ilivyo kwa wabunge amabo wanakopeshwa zaidi ya milioni 80?!

kweli lengo ni kuwafanya watumishi wa chini waishi kimasikini
inategemea serikal iliingia makubaliano gani na benki.
benki si taasis ya huruma
serikal inatakiwa kukaa chini na kutafakari
 
Back
Top Bottom