Mechi za soka zaanza kupuuzwa, hongereni Wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,723
Reaction score
284,662
Pamoja na mechi ya Azam vs Yanga kutangazwa kuliko vita vya Iran lakini mwitikio wake imekuwa Duni mno, Hakuna watu uwanjani na Wala ufuatiliaji wake kwenye TV ni kiduchu mno.

Wachunguzi wa Mambo wanaeleza kwamba Tayari wananchi washaanza kuamka na kuachana na Mambo yaliyotumika kuwapumbaza

Hongereni sana Wananchi kwa kushituka, Japo kwa kuchelewa

Better late than Never
 
Hii inaukweli maana hata mimi kuna jamaa yangu wa Kibanda umiza ananiambia jamaa umeachana sana na maswala ya mpira maana kwake naingiaga free tu. Ila ile kufatilia imekuwa ngumu hasa mpira wetu.
 
Ni hatua muhimu sana
Watanganyika wa baada ya uchafuzi wa October mwaka jana wamebadilika sana. Masuala ya burudani hawayachukulii sana maanani kama ilivyo hapo kabla, badala yake siasa na hamu ya kutaka kujitoa kutoka kwenye minyororo ya CCM ndiyo imepamba moto mioyoni na akilini mwao.

Tusubiri tuone.
 
Mungu aendelee kuwafungua
 
kwanini kwa sababu, Watanganyika wanatafakari namna ya kumuondoa kwenye ramani ya dunia huyu mmarekani muhuni muhuni tapeli tapeli anatumia mamluki kumhadaa mtanganyika, maana hata mikutano inajaa mamluki kuyoka uingereza na yule 7up naye kilaza sana
Yaani jamuhuri ya kiislamu ya Zanzibar ilinikera juzi baada ya kupiga marufuku uuzwaji wa pombe. Niliumia sana aisee.
 
Nilikuwepo uwanjani kulikuwa na watu maelfu. Huo uchache labda ndotoni.
Anyway ndoto zako hazitatimia. Wabongo na boli ni Pete na kidole
 
Pamoja na mechi ya Azam vs Yanga kutangazwa kuliko vita vya Iran lakini mwitikio wake imekuwa Duni mno, Hakuna watu uwanjani na Wala ufuatiliaji wake kwenye TV ni kiduchu mno.

Wachunguzi wa Mambo wanaeleza kwamba Tayari wananchi washaanza kuamka na kuachana na Mambo yaliyotumika kuwapumbaza

Hongereni sana Wananchi kwa kushituka, Japo kwa kuchelewa

Better late than Never
RAIA FEKI NDIYO WANAO MILIKI SIMBA NA YANGA NA AZAM NA SECTA YOTE YA SOKA NCHINI ....KUMBUKENI KUNA TUKIO LA KUTEKWA KWA RAIA FEKI MMOJA KIPINDI CHA JPM WATU WALIPIGA SANA KELELE KUMPIGANIA LAKINI HUYO RAIA FEKI YEYE LEO NDIYE ANAYE UNGA MKONO SELIKALI YA SA100 NA UTEKAJI UNAO ENDELEA AJAWAI HATA KUTOA POLE YA UTEKAJI WALA MAUAJI NDANI YA UTEKAJI HUO...
 
Hata uchangiaji wa post umekuwa mdogo watu mnaandika pumba sana unakumbuka kipindi Ben Saanane yupo humu jitahidini kuandika point sio vioja post toka jana inawachangiaji 18!
 
Back
Top Bottom