Mechi za soka zaanza kupuuzwa, hongereni Wananchi

Mechi za soka zaanza kupuuzwa, hongereni Wananchi

Kuna mambo yanashangaza ila nadhani upuuzi wa CHADEMA na CCM ndo chanzo cha vijana kuishi kama wamekatwa vichwa.

Michezo na sanaa ni sekta ambayo imeajiri watanzania huru, wenye maamuzi binafsi, uhuru wa kuamua na kuchagua zaidi ya milioni 2 ila kuna Mtanzania asie na ajira anaishi kwa shemeji ake kutwa yupo mitandaoni kuhimiza ujinga na upuuzi.

Ukishindwa kuhimili Tofauti na mihemko ya mitizamo na itikadi ukajiona wewe ni bora na unastahili zaidi DEMOKRASIA SIO MAPAMBANO YAKO.

NA HII NI KWA PANDEE ZOTE.
 
Sio kweli unajipa moyo bro, watu watasusia burudan zote ila sio mpira mzee. Mpira hauhitaji promotion jombaa, ndio mchezo unaoongoza kupendwa duniani ndio maana timu unayoipenda hata ifungwe vipi bado utaendelea kuishabikia tu.
Post zenu wanaharakati ndio zinakosa mashabiki na wachangiaji(replies 19 tu mpaka sasa tokea jana)kama hivi ila sio soka mzee
 
Wewe post yako ni ya ngapi?
 
Back
Top Bottom