Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

na wewe unasemaje
Isa siyo Yesu ndivyo mnavyokimbiaga hoja ili ionekane aliyekufa msalabani ni Yesu na yule Quran inayemsema hakuuawa siyo Yesu. Uchochoro huo mnaotumiaga leo ndio mnataka kuutumia kwamba Yesu (Isa) hakufa ili mwendelee kupeta.
Sasa leo uchochoro huo haupo!
 
Chemistry uijulie wapi we kafiri.

Labda chemistry ya kuvilawiti vitoto vidogo kanisani au kuwatafuna kondoo wa bwana wanaovaa vimini na kuacha mapaja nje yakikutamanisha mchungaji.

Umeabika kwenye kitu kidogo tu kutokujua hydroxo ni nini halafu eti ujitie unaijua chemistry!

Lakini sishangai nyie wagalatia kwenu kuongopa kama ibada tu kitu hata kama hukijui utajifanya unakijua.

Na ndiyo maana bila hata ya aibu mnamsingizia yesu kuwa ni Mungu hali ya kuwa mwenyewe alishasema ni mtu.

Yaani nyie makantonta wa kigalatia ni wa kuhurumiwa tu.
Kwani mkuu Mtume Mohamed alifia wapi? alifia Maka, madina au Yerusalem? alizikwa wapi?
Alizikwa Madina
 
Je huu mji wa mecca umezungumziwa katika maandiko matakatifu ya Mungu? Huko katika taurati ua Zaburi? Maana Yerusalem umetamalaki huko.
.

Mfano mecca ndio mji bora duniani kuliko wowote.
Jerusalem ni mji muhimu katika historia ya kiislamu ..nabii Adam aliamrishwa na mwenyezi Mungu kuweka msingi wa msikiti was Al- aqsa ambao upo hadi Leo.
Jerusalem ndio ambao mitume wa mwenyezi Mungu wengi waliishi pale.
Madina ndio mji aliozikwa mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu.
Huu ndio ukweli ila unapingwa kwa matusi na kejeli.
 
Hawa wa puuzi waliuliza swali Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu alitabiriwa na nabii/manabii gani? Nani alishuhudia au muujiza gani pasi shaka ulidhihirisha kushushiwa kwake Quran Tukufu toka kwa Mungu.


nakubaliana na wewe kaka lkn sio wakristo wote wenye kuyafanya hayo.
kingine ni kuwa Sisi waislamu tunatakiwa kuwa mfano bora. hao wanaotukana sio WAKRISTO WA KWELI bali ni Wafuasi wa Sheitan.
Mimi nimepambana nao sana huko nyuma na nimejifunza kuwa wakati wangu ni muhimu kuliko kubishana na wapuuzi.
Ibada kwetu sisi ni kukumbusha tu.
we toa darsa kisha waache wapuuzi na upuuzi wao.
kumbuka huu msamiati.
"funika kombe mwana wa haramu apite"
 
Mungu aliyeuawa na wanadamu aliowaumba mwenyewe? Unacheka kama zuzu.....


Shetani alimjaribu Bwana Yesu/ Mungu na akashindwa na akaambiwa imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.

Lakini Yakobo akashindana na Mungu akashinda akaitwa Israel.

Uzao wake ukamsulubisha Mungu pamoja nasi/Bwana Yesu ukafanikiwa. Ndio maana likaitwa taifa teule la Mungu maana kwa kupitia hili taifa/Israel Mungu alitimiza mpango wake aliouweka kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu.
 
Sasa hebu ufafanue huo ujanja ujanja kwa maandiko. Ekezea kwa kituo na kimaandiko huo ujanja. Kisha na sisi tutakuonesha ujanjaujanja kwenye biblia. Naamini utasilimu wewe...
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya nguvu za majini na -slam,na hapa ndipo -slam wengi wanapotekwa hasa kwa miujiza ya haya majini.
Albadili kama inavyo fahamika na ilivyozoeleka na wengi ambayo mara nyingi husomewa mtu ili adhurike chanzo chake ni jini liitwalo BADRI yaani jini vita.
Lakini kwa bahati mbaya uma wa -slam wasio elewa chochote inaposomwa hii wao hudhani kwamba ni Mungu huyo ndio katenda.
Yapo mengi ukiyafahamu huko huwezi kubaki lazima utaachia ngazi2
 
Huwa sipendi kubishana kwa masuala ya kidini mwisho wake ni kubaya, kila mtu anatetea upande wake na kila mtu anaponda dini ya mwenzake ...
 
Teeh teeh teeh

Eti mtu anaitwa kinyungu

Kabila letu sisi kinyungu maana yake mwanamke Malaya au kahaba kama yule rahabu wa kwenye biblia.


Halafu dada kinyungu kwani nani kasema hakuna mungu au hata unachoandika hukielewi?

We nahisi ushatwika mapuya au divai umelewa basi ujinga wote unaleta humu.

Hivi kati ya nyie makafiri na waislamu nani wanaokaa uchi?

Nyie akina kinyungu mpaka vichupi mnaingia navyo kanisani achilia mbali vimini sketi ndo maana wachungaji wanajitafuniaga tu akina dada kama nyie.
Nabii tito kiboko yao anawatafuna tu
 
Aisee kumbe!!!! Fanya uwe wa nguruwe itapendeza zaidi. Wenye imani dhaifu.
Mara oooh mpango wa Mungu utimieee...
Mpango wa Mungu kumuua Yesu? Wakati Yesu mwenyewe ni Mungu! Au mpango wa Mungu (Yesu) kumuua Mungu (Yesu)?
Hoja za ajabu ajabu hapa hazitakiwi. Na ndio maana wakristo baada ya kushindwa kuuelewa uislam wameishia kuokoteza maandiko ya kwenye google wakidai ni Quran. Ukiyasoma wala hupati mtiririko!
Mara oooh aliyempa utume Muhammad ni adui wa Jibril.....
Upuuzi mtupu!
 
Haya uliyoongea ni mavi ya nguruwe kabisa! Hamna ushahidi wa kimaandiko bali ni fikra za kikanisa-kanisa tu. Ni ubwege mtupu!
bado nakukumbusha maelekezo ya mutume kwamba mawaidha mema na hekima ndio njia bora ya kuwalingania watu deen
vol3_Page_265.png
kwa nini hutaki kufuata maagizo ya muhammad dogo.. kweli hujui wewe ndie unasababisha kupuuzwa kwa jeuri mtume wako
 
bado nakukumbusha maelekezo ya mutume kwamba mawaidha mema na hekima ndio njia bora ya kuwalingania watu deen View attachment 688509 kwa nini hutaki kufuata maagizo ya muhammad dogo.. kweli hujui wewe ndie unasababisha kupuuzwa kwa jeuri mtume wako
Mtume wangu nani maana sidhani hata kama unamjua jina.
 
bado nakukumbusha maelekezo ya mutume kwamba mawaidha mema na hekima ndio njia bora ya kuwalingania watu deen View attachment 688509 kwa nini hutaki kufuata maagizo ya muhammad dogo.. kweli hujui wewe ndie unasababisha kupuuzwa kwa jeuri mtume wako
Kwa hiyo unakiri maelekezo ya mtume yana hekima?
 
Back
Top Bottom