Angalia sasa firahuni huyu....kwa kuwa wewe mwenyewe umeleta suala la dini hapa ngoja nikupe somo ujitafakari. Hivi kwa akili yako, unafikiri ukristo na uislam ni dini zetu sie waafrika? Uislam na kitabu chao ni kwa ajili ya waarab tu na ndiyo maana manabii wao wote huko kasoro nabii Issa ni waarab HAKUNA Mtanzania hata mmoja. Kwa ukristu, ndani ya biblia majina yote yaliyomo mule ni ya kiyahudi na kila kitu kizungumzwacho mle ni kwa ajili ya Israel TU wala si Tanzania au Afrika ukiondoa Misri. Hizi dini tuliletewa na kuaminishwa vitu sivyo vyetu huku tukisusa Imani za mababu zetu na ndiyo maana mpaka leo Afrika as a whole tumelaanika kususa mababu zetu kufuata vitu tusivyovijuwa, tunakaririshwa tu na kuvifanya kuwa vyetu. Ni ujinga na upuuzi sana huu na ndiyo maana tunadharauliwa sana. Angalia China, India, na mataifa mengine duniani....hawazitaki kabisa hizi dini za watu wengine kwa sababu hazina tija kwao. Miaka ya nyuma na pia kuna baadhi ya sehemu China mpaka leo hii, ukibainika wewe ni muislam unafungwa ama kuuliwa. Wanataka watu wafuate dini zao za kutukuza na kuabudu mizimu yao. Sie huku kama wewe
Malyenge unaona sifa kutukuza dini za watu wa nje na kujishebedua.