Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Ndugu yangu mm uislam naujua vzr sana...
Nimeishi Zenji, nimeishi na waislamu toka nina miaka 6 hadi leo hii ndo nimetoka. Nimesoma madrasa japo nilikua mkristo so mm namjua vzr mudi.

Swali langu kwako....

Je Abdullah baba ake Muhamad alikua Muislamu?
 
Mkuu bado kitimoto haijakutoka kichwani? Kunywa maziwa utakuwa ok. Utaacha kuwaza mambo ya namna hii.

Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
 
Ndugu yangu mm uislam naujua vzr sana...
Nimeishi Zenji, nimeishi na waislamu toka nina miaka 6 hadi leo hii ndo nimetoka. Nimesoma madrasa japo nilikua mkristo so mm namjua vzr mudi.

Swali langu kwako....

Je Abdullah baba ake Muhamad alikua Muislamu?
Kabla sijajibu soma thread yangu@ nyie ukiguswa uislamu lazima mtoe kashfa tu....thread yangu iko very crear ila nyie bwana...sipendi malumbano kwa sasa...
 
Da'Vinci
Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....
 
me naweza kuchagua nguo kati ya nguo zangu nikasema hi ndio nguo bora ila hyo nguo itakua bora kwa vigezo ninavyoviona mimi na hakuna wa kunipinga hilo dat why kuna watu wameamua kuchukua mti nakuchonga kitu nakukithamini kama mungu wake (hapa nimetole mfano msinielewe vibaya) na kama itatokea mtu kakivunja au kudhalau shiling itasimama(ugomvi) , kama makka ni mji bora kuna vigezo vyako unavyoiona ingawa kwangu mimi havifiti hata kdgo ila sikukatalii kwa sabbu umeleta kidini na kiimani yako
 
Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....

Akikujib nitag
 
Huhuhuuuu sasa nani kawafuga ibadani mwao?
Si meyafuga hadi mmeyapa sura ya Surrat jinn
 
Back
Top Bottom