Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Unachokiandika wala hukijui. Huu uzi utafungwa maana umwkuja mzee wa matusi.
niombe radhi malyenge mimi walah sio mtukanaji ilaha Ni Mtumishi wa Allah Yesu ref hiyo post yangu nimetukana nini hawavai ihram
hajj-clothing-ihram-2.jpg
sasa masharti ya ihram isiwe na mshono chupi gani haina mshono jee hawanyoi kipala jibu hilo hapo
52039161.jpg
hawafagi wakati wanamshughulikia kumpopoa mawe shetani?! ushahidi huo
Hajj.jpg
nimetukana wapi?¡
 
niombe radhi malyenge mimi walah sio mtukanaji ilaha Ni Mtumishi wa Allah Yesu ref hiyo post yangu nimetukana nini hawavai ihram View attachment 688151 sasa masharti ya ihram isiwe na mshono chupi gani haina mshono jee hawanyoi kipala jibu hilo hapo View attachment 688153 hawafagi wakati wanamshughulikia kumpopoa mawe shetani?! ushahidi huo View attachment 688154 nimetukana wapi?¡
Hivi hizi picha huwa una wakala anakuleteaga? Hasa zile za nyama ya nguruwe huwa unazitoa wapi.?
 
Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
ViPi pale penye msikiti wa quds?, mbona jamii yote ya kiislm inapapigia kelele?
 
Kanisani hamumpigi shetani!
shetani ni roho, utampigaje na mawe? halafu iringa hayupo shetani mpaka upande pipa wende mecca uvue suti ubaki nusu uchi ununue sare na na mawe ili umtandike shetani? nakuomba dogo hebu fuata maagizo ya mtume wako ktk kuuliza maswali
14bc95337571fe479bcde83b711562cb.jpg
na Wakristo nao ni mlingano kwa watu waulizao kihivyo kwamba si wajuzi ilaha wanajivuna na wana wazimu wa maswali.
8a4c856c26a47c71011641090e780456.jpg
 
Uwa nashangaa sana kwann husiwe mstarabu?
Km kuna kitu kinakutatiza kwann husiulize ukaelekezwa?
NB: hiyo miji ina historia kubwa sana huwezi kuitenganisha na Imani ya kweli ya mwenyezi Mungu.
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Labda ungependa kujua kuwa hekalu la sensoji na meiji Japan linatembelewa na "watu walioamua kuacha dhambi" milioni thelathini kila mwaka.. Hekalu la Kashi Vishwanath lilopo mji wa Varanasi, India hutembelewa na waumini takribani milioni 22 kwa mwaka.. Pia ungependa kufahamu kuwa “mitume " wa buddha na dini nyinginezo hawakuzikwa mecca pia… ni mtizamo tu
 
Uwa nashangaa sana kwann husiwe mstarabu?
Km kuna kitu kinakutatiza kwann husiulize ukaelekezwa?
NB: hiyo miji ina historia kubwa sana huwezi kuitenganisha na Imani ya kweli ya mwenyezi Mungu.
Point of correction kwenye Mecca,madina na Jerusalem
 
Hujaeleweka bado, ukiitetea hiyo miji kwa lipi??? Weka wazi mada ueleweke!!
 
niambie wewe umbile la shetani..
Nimekuuliza na wewe unaniuliza tena? Kwani hujui? Si huwa unasema linatupulizaga matakoni tunaposali msikitini....au umesahau? Kwa hiyo kama ubajua linatupulizaga matakoni basi utakuwa ubajua umbo lake. Yale mamichoro uneyapeleka wapi? Si ndio mashetani yako hivyo?
 
Hujaeleweka bado, ukiitetea hiyo miji kwa lipi??? Weka wazi mada ueleweke!!
Mfano mecca ndio mji bora duniani kuliko wowote.
Jerusalem ni mji muhimu katika historia ya kiislamu ..nabii Adam aliamrishwa na mwenyezi Mungu kuweka msingi wa msikiti was Al- aqsa ambao upo hadi Leo.
Jerusalem ndio ambao mitume wa mwenyezi Mungu wengi waliishi pale.
Madina ndio mji aliozikwa mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu.
Huu ndio ukweli ila unapingwa kwa matusi na kejeli.
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
dunia duara mkuu achana na elimu madrasa
 
Hujaeleweka bado, ukiitetea hiyo miji kwa lipi??? Weka wazi mada ueleweke!!
Maguvu waliyonayo wayahudi wangeuchukua within 10 minute BT unalindwa na mwenyezi Mungu pekee.
 
Attachments

  • 5932480e1e821%281%29.jpg
    5932480e1e821%281%29.jpg
    31.2 KB · Views: 30
Nimekuuliza na wewe unaniuliza tena? Kwani hujui? Si huwa unasema linatupulizaga matakoni tunaposali msikitini....au umesahau? Kwa hiyo kama ubajua linatupulizaga matakoni basi utakuwa ubajua umbo lake. Yale mamichoro uneyapeleka wapi? Si ndio mashetani yako hivyo?
kwa hiyo huyu
pmm-fart.jpg
ndio mnampiga mawe aliye puliza hapo nani? unamuona?
nimi usije ukanisingizia kufungwa uzi
 
Back
Top Bottom