Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

mkuu naona unakwepa kwepa tuu hapa huchomoi. Umeulizwa baba yake muddy Abdala alikuwa muislam?

Mbona unaogopa kujibu
Muddy Abdallah ndo nani we msuuzaa na muosha mavi ya wazee Denmark.

Yaani we jamaa akili za uchafu unaooshaga uko nahisi wote unaingia kichwani mwako.

Matokeo yake unskuja kuandika vitu hata havieleweki.

Halafu kuhusu uislamu sio hao uliowataja tu hata adam alikua muislamu.
 
Hakuna dini apo....ni ujanja ujanaja wa mudi tu...mtu kaja miaka mia tano baada ya nabii yusuf...kaleta vjsheria vyake vya kipuuzi mjin apa...kukwepa matamio yake ya kingono
 
Wagala jazba, wanashindwa kujibu kwa hoja, yaaani wameshindwa kabisa kutoa utetezi na hii sio humu tu, hata mkiwa wawili ukianza kumbana tu anakimbilia magaidi, kujilipua yaaan hawanaga hoja hilo lipo wazi, hebu tazma waislamu walivyo wapore wanawajibu tena kwa hoja kweupe kabisa
 
Muddy Abdallah ndo nani we msuuzaa na muosha mavi ya wazee Denmark.

Yaani we jamaa akili za uchafu unaooshaga uko nahisi wote unaingia kichwani mwako.

Matokeo yake unskuja kuandika vitu hata havieleweki.

Halafu kuhusu uislamu sio hao uliowataja tu hata adam alikua muislamu.
mnajifariji Sana pambaneni Na imani yenu
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Kumbe kuishi bila dhambi Duniani INAWEZEKANA? Basi WALIOOKOKA wapo sahihi na hakuna haja ya kuwabeza.
Yesu (bin Mariam) anasamehe dhambi, tutubu atusamehe na tuishi maisha matakatifu maana inawezekana.
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Eti mtume wa mwisho wa Mungu..? Jerusalem ameshuka Mungu mwenyewe iweje huyo, mfalme mtume eti awe mtume wa Mungu.
 
Hakuna dini apo....ni ujanja ujanaja wa mudi tu...mtu kaja miaka mia tano baada ya nabii yusuf...kaleta vjsheria vyake vya kipuuzi mjin apa...kukwepa matamio yake ya kingono
Sasa hebu ufafanue huo ujanja ujanja kwa maandiko. Ekezea kwa kituo na kimaandiko huo ujanja. Kisha na sisi tutakuonesha ujanjaujanja kwenye biblia. Naamini utasilimu wewe...
 
Hakuna mahala waislam wanamwabudu mtume Muhammad. Huo inaonesha nao ni umbumbumbu wa maandiko. Kwa hiyo wewe uislam huuelewi hata kidogo. Unapelekwapelekwa tu.
Umeulizwa swali weweee mbona unajingatangata? BABA YAKE MUDY, ABDALAH ALIKUWA MUISLAM?
 
Unaelewa maana ya kubaka? Kisheria ukioa/kutembea na mwanamke chini ya miaka 17 ni kubaka sasa Mudy yy alioa mtoto wa miaka 7 na akaanza kumzini akiwa na miaka 9 hili ni kosa kubwa sana alitakiwa afungwe na siyo kuabudiwa
Zungumzia dini sio sheria ya Tz
 
Back
Top Bottom