Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Wewe chukua boja moja kisha ijadili iishe. Mbona unachomeka vitu vingi? Kwa umbuumbumbu wako kwenye 2:97 japo umesema uongo umeanza na neno "SEMA". Mbona hujiulizi nani anaambiwa aseme? Ukishajua nani anaambiwa aseme hutauliza tena masuala ya anduko kutaja Mungu. Muhammad anaambiwa aseme. Yaani yale anayoambiwa aseme ndio yanaingizwa kinywani mwa Muhammad jinsi anavyotakiwa kusema. Hapo hamna tatizo. Tatizi ni wewe usiyejua Quran. Huwezi kukichambua kitu usichikijua matokeo yake utatia aibu tu.
Unaelewa ulichokijibu isijekuwa naongea na mtu aliyepandisha
 
Hiyo aya imechomekwa. Hamna andiko hilo kwenye Suratul Baqara 2:97 linaliema hivyo ulivyo quote. Tatizo unasoma Quran ya kweny mitandao ambayo ndio imechomekwa maneno na watu kama ninyi ili kupitosha umma..
 
Nimeukiza 28 na siyo 29
8 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
29 Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, kwenye mlima uitwao wa Mizeituni, alituma wawili katika wale wanafunzi,
30 akisema, Nendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mtakapoingia ndani mtaona mwana-punda, amefungwa, ambaye hajapandwa na mtu ye yote bado, mfungueni mkamlete hapa.
31 Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
 
Hiyo aya imechomekwa. Hamna andiko hilo kwenye Suratul Baqara 2:97 linaliema hivyo ulivyo quote. Tatizo unasoma Quran ya kweny mitandao ambayo ndio imechomekwa maneno na watu kama ninyi ili kupitosha umma..
Dawa ishaingia

MIMI NAISHIA HAPA ILA NAJUA UKITAFAKARI LAZIMA UTAPATA JIBU SAHIHI asante
 
8 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
29 Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, kwenye mlima uitwao wa Mizeituni, alituma wawili katika wale wanafunzi,
30 akisema, Nendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mtakapoingia ndani mtaona mwana-punda, amefungwa, ambaye hajapandwa na mtu ye yote bado, mfungueni mkamlete hapa.
31 Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
Mwa higo Yesu aliiba punda wa watu hapo kwenye 19:31?
 
Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Dini ya kweli ni dini inayomjali yatima, mgonjwa, mjane, haimsaidi mungu kuhukumu
 
Dawa ishaingia

MIMI NAISHIA HAPA ILA NAJUA UKITAFAKARI LAZIMA UTAPATA JIBU SAHIHI asante
Dawa itaingia vipi kwa maandiko ya uongo? We swma unakimbia. Quran 2:97 tumeshuhudia umeleta andiko la uongo. Sasa kwa maandiko ya uongo unategemea nini hapo zaidi ya kujaza uzwazwa kichwani?
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Kwani mkuu Mtume Mohamed alifia wapi? alifia Maka, madina au Yerusalem? alizikwa wapi?
 
Naona umeanza kuyakataa maandiko ya mkitabu wako sasa ngoja nikuwekee na picha uikataeView attachment 688012
Hata hiyo 2:98 haisemi hivyo.
Soma hapa inavyosema:
"Anayemfanyia ushinde Mwenyezi Mungu na Malaika wake na mtume wake na Jibril na Mikail (anatafuta kuangamia) kwani Mwenyezi Mungu atakuwa mshinde wa makafiri hao".
 
Mecca ni katikati ya dunia kutoka wapi? hili mie nalipinga kwani halina ukweli hata chembe (labda unafafanue).
Waliokwenda na kurudi 'matendo' mbona yanakuwa yaleyale?
 
Mecca ni katikati ya dunia kutoka wapi? hili mie nalipinga kwani halina ukweli hata chembe (labda unafafanue).
Waliokwenda na kurudi 'matendo' mbona yanakuwa yaleyale?
Umechanganya mada. Wewe unataka ukweli wa Mecca kuwa katikati ya dunia. Sasa matendo yanahusiana vipi na mji kuwa katikati ya dunia?
 
Back
Top Bottom