pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Ila kwa 'utakatifu', Yerusalem ndio mji mtakatifu wa Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa biblia takatifu.
Hata Mecca ni mji mtakatifu kwa mujibu wa Quran tukufu.Ila kwa 'utakatifu', Yerusalem ndio mji mtakatifu wa Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa biblia takatifu.
nakubaliana na wewe kaka lkn sio wakristo wote wenye kuyafanya hayo.Mkuu wakristo wakionaga mada inayohusu uislam huwa wanaanza matusi na hoja mbovumbovu. Hakuna mahala waislam huanzisha matusi bali wakristo hupenda sana kuanzisha matusi. Hasa matusi yasiyo na ushahidi. Mara utasikia wanamtukana Muhammad malaya, mara mbakaji.....bila ushahidi. Wana vihoja uchwara vya kuungaunga tu. Ukiwaambia walete ushahidi watakuletea ushahidi wa wikipedia au articles kutoka mtandaoni. Hao ndio wakristo wa Tanzania......
huyu PNC ni mchungaji aliyejipachika cheo aliyeanzisha sehemu yake ya kuabudu anachojua yeye kwa pesa za mkopo pale mabibo.Sijapanic. Wewe ndio mwongo. Umetoa 2:97 Quran kwa kuchomeka maneno yako. Haisemi hivyo. Acha uongo.....
OK!Basi, ni uzuri wa kutosha Wapalestina wakashauriwa waung'ang'anie mji huo wachane na Jerusalem. Hapo vipi?Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
The exact center of the earth, was found to be near Ankara,capital of Turkey, at latitude 39° and longitude 34° mpe hiyo mkuuMecca ni katikati ya dunia kutoka wapi? hili mie nalipinga kwani halina ukweli hata chembe (labda unafafanue).
Waliokwenda na kurudi 'matendo' mbona yanakuwa yaleyale?
Duh....mchungaji mzima mweupe namna hiyo kichwani?huyu PNC ni mchungaji aliyejipachika cheo aliyeanzisha sehemu yake ya kuabudu anachojua yeye kwa pesa za mkopo pale mabibo.
hilo jumba lao la hizo ibada limekosa abiria kabisa mwaka wa nne huu sasa hasira zake anamalizia waislamu.
msamehe bure.
njaa ikipanda kichwani Inaharibu kila kitu.
mpk ladha ya hanjumati.
Hapana! Ni Egypt!The exact center of the earth, was found to be near Ankara,capital of Turkey, at latitude 39° and longitude 34° mpe hiyo mkuu
watu wa namna hio wasipoteze wakati wako akhy.Duh....mchungaji mzima mweupe namna hiyo kichwani?
Anasema Muhammad mbakaji na muuaji wakati kuna ubakaji mkubwa kupata kutokea hapa duniani tunauona kwenye biblia...
Nampa pole yake.
Duh!watu wa namna hio wasipoteze wakati wako akhy.
huyu jamaa ukikutana nae hata km huna imani lzm umpe hela ya kula.
kabaki mfupa na ngozi
Nionyeshe ubakaji wa kwenye Biblia kama ulikubalika mkuu.Duh....mchungaji mzima mweupe namna hiyo kichwani?
Anasema Muhammad mbakaji na muuaji wakati kuna ubakaji mkubwa kupata kutokea hapa duniani tunauona kwenye biblia...
Nampa pole yake.
Kukubalikaje?Nionyeshe ubakaji wa kwenye Biblia kama ulikubalika mkuu.
Ubakaji kwenye Biblia upo ni kweli."Kukubalika" Namaanisha je Biblia katika maelezo yake imesupport huo ubakaji.Kukubalikaje?
Kwani ni wapi kwenye Quran imesapoti ubakaji?Ubakaji kwenye Biblia upo ni kweli."Kukubalika" Namaanisha je Biblia katika maelezo yake imesupport huo ubakaji.
Mimi sipo huko kwenye ubishani wenu wa Qur'an na Biblia.Ndo maana sijataja Qur'an.Nimeuliza tu nipate maarifa.Kwani ni wapi kwenye Quran imesapoti ubakaji?
Na mimi nataka taarifa kutoka kwako. Ni wapi ubakaji umekubaliwa?Mimi sipo huko kwenye ubishani wenu wa Qur'an na Biblia.Ndo maana sijataja Qur'an.Nimeuliza tu nipate maarifa.
Damu ya msalabani imeandikwa wapi?hii ligi yenu haitaisha, maana mnapambana na suala la imani aliyonayo mtu, itoshe kusema njia ya wokovu na kuiona mbingu ni kushika amri kuu zile kumi tena alizopewa mtu pekee aliekuwa na uwezo wa kuongea na Mungu direct MUSA huyo.lakini pia lazima kumkiri yeye aliyekuja kuukomboa ulimwengu kwa damu yake msalabani, sasa wapo wapinga kristo wametajwa na wanajulikana,kila mtu abaki na yake imani ila siku ya hukumu kitajulikana tu.
asalam aleikum ust malyengeKwani ni wapi kwenye Quran imesapoti ubakaji?
hatma nabii ametahadharisha kwamba usiulize maswali ambayo ukidhihirishiwa itakuchukiza na kujaa povu
