Mdogo kuliko wote katika jamii forums

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member
 
Hongera mbili kwako:
1 kwa kuwa mdogo
2 kwa kubamba kwenye siasa,teknolojia na lugha
Way forward
-jitahidi ubambe na mmu
 
1.walimu wako wa chekechea wengine wapo hapa na wanakuona umekacha class leo,ole wako ukirudi shule ni bakora tu.
2.My god, we mwana wee usije ukawa umeingia na kile chumba chaaaaa sijui wanaita ........la wakubwa.
 
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member
Mbona inaelekea wewe ni mkubwa?
 
Hongera mbili kwako:
1 kwa kuwa mdogo
2 kwa kubamba kwenye siasa,teknolojia na lugha
Way forward
-jitahidi ubambe na mmu

King'asti...keshasema yeye mdogo, umri haumruhusu kushiriki MMU! Kuwa 'bana mdogo' ipo siku utabamba na MMU.
 
Dr jamani huo unoko sasa. Kama mmu haruhusiwi sasa jukwaa la wakubwa si haruhusiwi hata kuliona kwenye home page? Lol
King'asti...keshasema yeye mdogo, umri haumruhusu kushiriki MMU! Kuwa 'bana mdogo' ipo siku utabamba na MMU.
 
Mdogo kivipi?umri,maumbile,muda wako ukiwa JF?ambatanisha vyeti kwa ushahidi.
DEDICATION;
naenda kusema by Aslay
 
wadogo wengi tu kama kiduku n.k ila wanajifanya wakubwa kinoma kama umri wa nazjaz..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom