valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 889
Karibu jf. endelea kubamba tu mkuu!
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member
huko MMU utampoteza,ataota,bado mdogoHongera mbili kwako:
1 kwa kuwa mdogo
2 kwa kubamba kwenye siasa,teknolojia na lugha
Way forward
-jitahidi ubambe na mmu
Hongera mbili kwako:
1 kwa kuwa mdogo
2 kwa kubamba kwenye siasa,teknolojia na lugha
Way forward
-jitahidi ubambe na mmu
Mdogo kichwani, au huku kwingine chini?
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member
shikamooni wadau
napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.na juzi tu nimepata promotion kuwa senior member