ADii,
Hivi ulishasikia kuwa jina la utani (la kijiweni) linapata kasi ukilikataa??? Ndiyo maana nakushauri uone ni furaha tu watu kushindwa kukutofautisha na baadhi ya members...labda kama kuna deception ya aina fulani!! Na hata kama ipo, haya mambo tunayafanya kwa imani kwamba hatujuani..Kwa hiyo hayatakiwi kukusabishia real damage kwa hali yoyote ile!
Binafsi nitasikitika kama comment mbaya juu yangu ataitoa mtu ambaye ananifahamu...Kwa wasio nifahamu, wana haki ya kutafuta vivuli kwa kadri wawezavyo ili wajiridhishe kwamba walau wamejenga image yangu..
Which is not bad at all........Jitahidi kuhandle imotions za upande wa pili kwa sababu umekubali kuwepo hapa na kujumuika na kila mtu...huwezi tena kubagua mijusi, kenge, na hata wadudu!!