The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Mama Bishanga analalamika anasema mapenzi yako yote umeyaelekeza kwenye hii thread, usisahau kuja na AshaDii na wengineo kwenye hafla yangu ya kutunikiwa Phd ya heshimahilo nalo neno,mmeachana and stll in love? Acha kuchakachua thread ya Aspirin!
Wanajumuiya.... Again
hii thread inaonyesha jinsi watu tunavyopenda lakini haishii hapo............ Pia inayonesha watu wanavyo chukulia mapenzi kati ya partner na kids na haishii hapo some people wanadhani kuna right way ya kupenda mama/baba au mtoto
kila anayependa apendavyo ana sababu na experience zake............ Love principles can never be one size fits all
Hahahaa Boss...seriously kuna watu humu wana pea-sized brains. Wakiona kitu tu wanaamini moja kwa moja. Akija mtu hapa na kusema eti Boss ndo NN...kwao hiyo itakuwa gospel truth.
Sasa eti mimi na AshaDii wapi na wapi? Ukiwauliza what makes you think I'm AshaDii? You either hear it's because AshaDii writes good English or they just bumble and flounder through their explanations. They can't even string together a coherent sentence.
It's funny and absurd but worst of it all it's sad.
Eti nini...??? Kwamba NN ndiey ADii???? Duuuu....basi mie nitakuwa nimeuvaa mkenge!!
Wasamehe bure brother...Siku tukivunja codes na kutoka kwenye magamba yetu ya haya majina ya JF wataujua ukweli....!!
Hayo maneno haya maanishi kuwa mama ampendi mwanae wa kiume ila ni obsession.
Mfano mimi Boss to be honest nampenda saana mume wangu; lakini sitakaa nijibaraguze kuwa nampenda kuliko mama yake anavyompenda; that mother is crazy for her kids na nalijua hilo.
Na urafiki (si mapenzi) wangu na mama mkwe ni under the condition kuwa na mtreat mtoto wake right. Nina hakika akijua ninamyanyasa mwanae in any way hapata kalika.
NN yale yale mtu anajifanya anakujua sanaa wakati hata hajawahi kukuona.Labda ukisema wewe babu watakusikiliza!! Angalau you know who NN is!
NN yale yale mtu anajifanya anakujua sanaa wakati hata hajawahi kukuona.Labda ukisema wewe babu watakusikiliza!! Angalau you know who NN is!
There is no comparison between the two. Kila mmoja ana nafasi yake and that what brings Happy Family ambayo inazaa Health Marriage.Wife/Spouses come first for the most issues because the health of marriage is what keeps the family together. If you keep kids above the wife/spouse all the time you are more likely to loose the wife/spouse to someone who puts him/her first. Then everybody gets a raw deal. The kids run close second and their needs are considered in our decisions
Generalization ndio inayoharibu!!
Sio wanaume wote wanaotanguliza wenzi wao japo kwa kiasi flani inaonekana wengi wanadai kwamba ndivyo walivyo....hivyo hivyo sio wamama wote wanaweza kuwapenda watoto wo for better or worse. Ni kama vile ambavyo sio wanawake wote wana huruma japo wanawake wanajulikana kua watu wenye huruma pia sio kila mwanamke anafaa KUWA mama japo anaweza akawa amezaa na anaitwa mama!!!
Dah! hili sredi limeenda na sjapata kupitia mapost yote but to me:
Ni ngumu sana kupambanua upendo wa waifu na kidz na naomba kukiri kwamba nimeshindwa haka kamtihani.
NB: Waifu ninaemuongelea hapa ni yule mwenye mapenzi na mwaminifu na mtoto ninaemuongelea hapa ni yule wa DNA yangu.
Mapenzi kwa mtoto/watoto ni tofauti kabisa na mapenzi kwa mke/mume/ au mwenza.
Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.
Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.
Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!
Mama Bishanga analalamika anasema mapenzi yako yote umeyaelekeza kwenye hii thread, usisahau kuja na AshaDii na wengineo kwenye hafla yangu ya kutunikiwa Phd ya heshima
Ni kweli lakini tabia pia inaweza kubadilika kutokana na kujifunza. Hata kupenda kwa maana ya mtu ku-treat wengine ni natural yes lakini kuna uwezekano wa ku learn ndo maana kuna washauri wa mambo ya mapenzi; ndoa etc.
Nina imani mwanamke anayechukua muda wake kusoma mambo ya mapenzi au malezi kwa nia ya kujua weakness alizonazo ana better chance ya ku bahave in a manner ambayo itakuwa acceptable na mwenza wake au watoto au jamii kuliko asotaka kujifunza na kuacha nature ichukue mkondo wake.
We always learn by reading or through life experience. Kuna watu wameteswa sana na mama wa kambo kiasi kwamba walishahapa kama nao watakuwa mama wa kambo they will behave in a way that will show society kuwa ni possible kuwa mama wa kambo na still kuwa mwema.
Mfano baba yangu alikuwa na shelf limejaa vitabu vya malezi; mama alikuwa anamponda anasema unalea watoto in a western way. Lakini nina imani alikuwa ana gain something ndio maana we always consider him as a good daddy; alikuwa na muda na sie; anatusikiliza hata tukiwa tunaongea nonsense; anatupa moyo; hachapi mtoto; kwa hiyo hatukuwa tunamuogopa hata kidogo; he was a friend.
Nilikuwa na kaka yangu mkorofi hajabu toka utotoni; lakini baba alikuwa anasema my son you are so bright ndo maana una tabia hiyo ulonayo; kweli bwana alishawahi mpaka kuzamia; but now ana degree na ametulia.
Kuna siku akiwa secondary alifanya kosa kubwa akaambiwa amuite mzazi; akaenda kukodi muuni mmoja na kusema ndiye mzazi wake. Baadae akagundulika; Baba alivyoitwa shule akaenda kumtetea akasema kweli nilikuwa safarini nje ya nchi.
out of topic...hivi hiyo 'ndoa' ya ma soulmates ni lini???lol
kwa kuongezea tu:
- unaamini watoto uliozaa na mkeo ni wa kwako kumbe kawazaa na best wako Aspirin
-unaamini mkeo yuko semina bagamoyo kumbe kapiga kambi coral beach masaki
-unaamini biriyani aliyokupikia mkeo ndo tam kuliko zote kumbe kakupikia kwa maji ya mochware
-unaamini mkeo hana hela na mnaishi kwa dhiki kumbe mkeo anamalizia kujenga ghorofa lake mbezi
-unaamini mkeo is 'off sex' for a while kumbe boss wake anamlamba,ukiomba wewe..'kichwa kinauma'....
The list goes on and on......Kloro ataongezea...
Hapo ndio tunarudi pale pale; naogopa kusemea jinsia nyingine; lakini my experience shows kuwa wanaume mapenzi yao kwa watoto wala hayaeleweki japo si wote; unaweza kuta baba anapenda watoto wake leo; kesho amegeuka utadhani watoto si wale wale alokuwa anawapenda. Ndio maana nikasema wanaume wengi wanapenda wake zao ndio sababu ya kupenda watoto wao; mapenzi kwa mke yakiisha na kwa watoto yanaisha na wengi wako radhi wapende mtoto wa kimada ambaye si wake kuliko kumpenda mtoto wake kwa kuwa yeye na wife hawaivi..
Inawezekana huu mdahalo unakuwa mgumu zaidi kwa kuwa tunatumia kiingereza zaidi.
Hebu tofautisheni hizi sentensi tatu.
1) Mimi namjali zaidi mtoto wangu kuliko mke wangu (kwasababu ni mdogo anahitaji support yangu ili kujifunza maisha, kukabiliana na changamoto, kupata bega la kuegemea na kumuongoza e.t.c)
2) Mimi namthamini Mke wangu zaidi ya mtoto wangu (kwasababu amenipa kitu chenye thamani yaani mtoto, na hivyo kizaa thamani inabidi kithaminike zaidi ya thamani)
3) Nampenda kihisia mke wangu zaidi ya mtoto wangu (kwasababu anadhibiti hisia zangu zaidi ya mtoto), na nampenda kiufahari mtoto wangu zaidi ya mke wangu ( kwasababu siku zote ananipa ushujaa wa kujifaharisha mbele za watu kwamba nimeleta kiumbe duniani)
Conclusion: Mapenzi ya mwenza na mtoto yanatofautiana kutegemeana na sekta.
Nimemaliza.
Umenikumbusha thread moja mwaka jana ilikuwa na views karibia 20,000 na page karibia 30naanza kupata hisia thread hii just like ya RussianRoulette na The Boss kuhusu ..'nyumba ndogo'..nayo inaelekea kwenye page zaidi ya hamsini....wiki hii naona itatoa thread of the year.
...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....
anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza, kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'
mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!
upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?
thanks Mama
umeongea mengi lakini sijui kama umeaddress hoja ya msingi.... love haina practice, love in straight, what you are talking about ni nafasi katika mapenzi na related issues, mie nazungumia mapenzi regardless ya mafasi
mwanangu akituna mtu ntamkanya au hata kumchapa, will end there.... mke wangu akituka ntamkanya sintamchapa bati it will stick to my mind
TUNACHANGANYA MAMBO.............. LOVE LOVE OH LOVE
Lionel Richie - Love, Oh Love - YouTube
THIS IS THE GREATEST LOVE OF ALL............... HAYA MENGINE YA SIKU HIZI NI MUHIMU NA NI MATAMU, BUT SOMEHOW THEY ARE QUALIFIED
Labda ukisema wewe babu watakusikiliza!! Angalau you know who NN is!
thanks Mama
umeongea mengi lakini sijui kama umeaddress hoja ya msingi.... love haina practice, love in straight, what you are talking about ni nafasi katika mapenzi na related issues, mie nazungumia mapenzi regardless ya mafasi
mwanangu akituna mtu ntamkanya au hata kumchapa, will end there.... mke wangu akituka ntamkanya sintamchapa bati it will stick to my mind
TUNACHANGANYA MAMBO.............. LOVE LOVE OH LOVE
Lionel Richie - Love, Oh Love - YouTube
THIS IS THE GREATEST LOVE OF ALL............... HAYA MENGINE YA SIKU HIZI NI MUHIMU NA NI MATAMU, BUT SOMEHOW THEY ARE QUALIFIED