Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
lizzy pamoja na yote naamini huwa kuna chapa tayari anakuwa ameiacha kwenye maisha yako na kila ukiangalia wanao kuna kivuli kinakuja kwanza ambacho ni baba wa wanao... Huwa inakuaje pale watoto wanapokuwa wakubwa na miji yao bado huwa wanaendelea kuwa wa kwanza kuliko wenzi wetu
Bab u hivi tangu lini nimegeuka DADA???Just curious...maana I didn't get the memo!
BTT....
Namwelewa Mbu kwamba yeye watoto wake comes first...ni muhimu zaidi..ana wathamini zaidi. Na iwapo akahitajika kuchagua kati ya mama na watoto atachagua watoto. Swala la mapenzi bado siamini kwamba unaweza kulinganisha kati ya watoto na mwenzi...unachoweza kulinganisha ni umuhimu wao/thamani yao kwako na mengine kama hayo.Ila mapenzi ya mzazi kwa mtoto/mtoto kwa mzazi/ mzazi na mwenzi/mtoto na mwenzi hayalinganishiki.
Na hii inatokana na kwamba watoto ni sehemu ya wewe...hata ufanye nini hawawezi kuacha kua watoto wako...hata wawe vipi bado wataendelea kua watoto wako. Ila mke/mume anaweza kuacha kua wakwako wakati wowote ule.Iwe unampenda au humpendi!!!