Mchungaji Lwakatare Arudisha Yatima 250 Kwao

- -

- sio mara ya kwanza unaleta huu mchezo wako kwamba ukianzisha topic lazima wote tukubali tu, otherwise utajaribu kuzunguka zunguka as if sisi wengine wote hapa ni wajinga, unakumbuka ile topic ya kikwete na kutojiamini?

- nimekuuliza time and time again ukweli wa hii habari, unajaribu kunizunguka na ujanja wako mwingi badala ya kujibu swali, what quote yangu has to do na wewe maane na sio wengine wote kwenye hii thread? Unaweza kunijibu hili swali kama wewe ni mkweli kama unavyodai? Acha utoto mkuu wewe uko wazi sana jina lako la kweli ni maane? Wewe huwaoni walio wazi humu kina mkandara na kitila?

Jina langu la kweli si issue. Ukitka ukweli zaidi ingia ndani ya research. Andika jina lako hapa na contact zako zote za ughaibuni na home!!!!!

- tarehe yangu ya kujiunga hapa inahusu vipi na mawazo yangu na wewe na mawazo yako? Halafu eti ndio unataka kuongelea inferioritism? Kweli mkuu unaelewa maana ya hili neno au mnakurupuka tu? Acha hiz bro kama huwezi kuleta ukweli wa habari yako wewe endelea na mawazo yako, lakini usitulazmishe wote hapa tuwe tunakubali tu kama wajinga, hakuna mtoto wako hapa wote sisi ni watuwazima, huna ukweli huna right to speak wala kumlaumu yoyote anayeuliza,

kwenye hii habari simply huna ukweli wa mada na kumhusu huyu mama, sisi hatuko hapa kuchafua majina ya viongozi bila sababu, sio tabia yetu hata siku moja mkuu, samahani kwa kukukwaza lakini umenishanganza sana kwamba from all the people kwenye hii thread wewe tu tena na mchango mmoja ndio umekwazika na kunirushia maneno ya chooni.

sauti ya umeme - fmes!

Tafadhali weka mchango wangu hapa kuhusu hiyo topic ya kikwete kutojiamini.

hizo ni double standards!!!! Sorry

Tafsiri ya either maneno ya chooni au ya bafuni unayo wewe. Ukweli ndio huo na kama unataka kufahamu zaidi nimesema kafanye research.

sauti ya umeme hainitishi. Ongezea radi. Usitutushie hapa. Hapa najikumbusha commands za ma field marshal jeshini!!!! Hapa si jeshini, we talk openly with democracy. Na sina mpango wa kufungua forum yangu kama unavyotaka. Nipo hapa hapa!!!!
 
1. sauti ya umeme hainitishi.

2. Ongezea radi. Usitutushie hapa.

3. Hapa najikumbusha commands za ma field marshal jeshini!!!! Hapa si jeshini, we talk openly with democracy.

4. Na sina mpango wa kufungua forum yangu kama unavyotaka. Nipo hapa hapa!!!!

- Kuigiza ni a professional art, sio kila mtu anaweza ingawa inaonekana ni kazi rahisi sana. Kuna watu wana-make a living kwa kuigiza sasa ni lazima tuwaheshimu maana sio kazi rahisi kwa wasioijua hiyo kazi.

- Now I am out maana hatutakuja kujua ukweli wa hii habari.

Thanxs!
 
Good day Wana JF,
Pole kwa kashfa mkuu wa kaya ya Dodoma!

Jamani mimi naona tumjadili Mh., Dr., Mchungaji, Mkurugenzi wa St. Mary's & Kenton na Founder & President wa SASATEL or LESS BADO, mama Getrude Lwakatare! Ama kweli uamuzi wake wa kuacha kazi bandari na kwenda Ughaibuni ku-study Masters Degree in " Spiritual Ujasiriamali" haikua bahati Mbaya!

Inasemekana pale Mikocheni Assemblies Of God, yeye ndio Alfa na Omega, Plot lilipo kanisa ni ya kwake na kanisa ni mali yake binafsi, a certificate right of occupancy (Title Deed) is in her name. Wachungaji wameajiliwa na wanakula mshahara na ukileta fyoko unatimuliwa!

Hivi karibuni kumekuwa na matangazo kwenye TV na radio, nikuhusiana na Christian Women Foundation, kaandaa tamasha kubwa sana pale Diamond, ashauza special ticket kwa Waheshimiwa akiwemo waziri Sophia Simba kwa laki moja kila ticket japo inatangazwa kwamba ni Sh. 10,000, 5000 na 3000.

habari ndio hiyo, naomba kutoa hoja!!!!!!
 
Japo sina saabu za msingi sana za kutom-mind mama huyu, mimi binafsi nahisi something is not right katika shughuli zake. Lazima kuna mahala anajificha, nahisi ni kanisani. Though najua ni kawaida kwa binadamu kutaka 2 baada ya kupata 1, na kutaka 3 baada ya kupata 2 na kuendelea.
 
Good day Wana JF,
Pole kwa kashfa mkuu wa kaya ya Dodoma!

Jamani mimi naona tumjadili Mh., Dr., Mchungaji, Mkurugenzi wa St. Mary's & Kenton na Founder & President wa SASATEL or LESS BADO, mama Getrude Lwakatare! Ama kweli uamuzi wake wa kuacha kazi bandari na kwenda Ughaibuni ku-study Masters Degree in " Spiritual Ujasiriamali" haikua bahati Mbaya!

Inasemekana pale Mikocheni Assemblies Of God, yeye ndio Alfa na Omega, Plot lilipo kanisa ni ya kwake na kanisa ni mali yake binafsi, a certificate right of occupancy (Title Deed) is in her name. Wachungaji wameajiliwa na wanakula mshahara na ukileta fyoko unatimuliwa!

Hivi karibuni kumekuwa na matangazo kwenye TV na radio, nikuhusiana na Christian Women Foundation, kaandaa tamasha kubwa sana pale Diamond, ashauza special ticket kwa Waheshimiwa akiwemo waziri Sophia Simba kwa laki moja kila ticket japo inatangazwa kwamba ni Sh. 10,000, 5000 na 3000.

habari ndio hiyo, naomba kutoa hoja!!!!!!

MjasiriamaliShupavu

I take her a very strong, future-focused and energetic woman. Very few women dare to do it!

Namheshimu sana huyu mama. Whether kanisa liko kwenye kiwanja chake ama la, tunachotazama ni kwamba je watu wanapata nafasi ya kumwabudu Mungu wao hapo ndani?!..ishu ingekuwa kama anatumia kitabu chake binafsi kufundisha neno, na si Biblia! Pale kuna wasomi waelewa wazuri sana ambao ni waumini wake, na hawajuti kuwa kwake!

Juu ya hilo tamasha, ni namna fulani ya mchango ambao hao uliowataja wameamua kumtolea Mungu!..hawakushikiwa silaha!

Ni kama mchango wa hiari ambao unakuwa hauna limit ya juu ya kutoa!
 
Last edited:
"Great minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt.

This woman was very right!! How well she is using her kipaji cha ujasiriamali ndiyo unachopaswa kuiga. i can assure you kama anafanya dhambi Mola anamuona. lakini kama anatumia kipaji alichopewa na Mungu then she is destined to be rich.
 
Hebu mwacheni huyu mtumishi wa Bwana.Kama vipi basi na nyie anzisheni kanisa mchume kama yeye.Kwani ana kosa gani?Hamwiibii mtu wala hanyanganyi kisichokuwa chake.Wenyewe mnampelekea sadaka ,sasa hata ningekuwa mie niache kuanzisha benki au Phone Company si mtanishangaa tena na kuniita bumbuwazi.Acheni hizo tena nawaonya kabisaaa mwacheni Mpogoro wa watu.Mbona hamyazungumzi ya Elias Mwingira,Kakobe au Lusekelo.Ama kwa kuwa kawa mvaa gauni basi ndo inawauma.ACHENI HIZO!!!
 
kama alinunua lile eneo kwa hela yake ya mfukoni, akaona ngoja afanyie kazi ya Mungu kwa manufaa ya kazi ya Mungu, kuna shida gani? hata mimi ningeweka jina langu kwasababu siyo kanisa lililonunua ile plot, alinunua yeye kwa pesa yake. tatizo lako nini? ulitaka akupe wewe lile kanisa uliongoze?
 
huyu mama anatumia jina la mungu na kusali kwa kufanya shughuli zake, imani yangu ni kuwa Mungu huwa hajaribiwi au kudhihakiwa, so km anaenda kinyume, au kutenda maovu kwa kujificha church ataumbuliwa na Mungu pekee,otherwise namsifu ansa kipaji kwakweli kwa kuwekeza vile? duh tumuige kufanya the same or more
 
Kama Tungefanya kama Mungu atakavyo basi tungekuwa mbali kuliko mchungji Dr lwakatare, Mungu anavitu vyakuwapa wanadamu,lakini watu wakuwapa wakowapi maana wengi wetu sio wema kwake, na Mungu ame mwahidi kila amtumikiae kuwa bopra zaidi kuliko watu wote waliopo duniani, hivyo basisihisi kamani dhambi mama huyo kubarikiwa.
Kutumia kiwanja chake ndiyo hasa Mungu hupenda, mungu hutumika na wale waliotiyari kutoa mali zao, kama unafikiri uongo to mali zako kwaajili ya MUngu kama hakukugusu na ukaona baraka zake.

Tatizo wengi wetu tunaishi nafikra zilizofungwa ndani ya mabox, tutkifikiri Mtu akiwa mtumishi wa Mungu basi awe maskini au mtu wa ibaada tu, tunasahau kuwa mtu huyu ambaye Mungu ndiye baba yake hasa anawezakumpa kituchochote ilimraditu anaweza kukimudu na kukitendea haki, elewa kuwa Wamutafutao Mungu ndio humuona.

Sina lengo la kumsaidi kutangaza utakatifu wake Dr, kwini MUNGU anamjua lakini sikubaliani na wazo lakuwa watu wa wanao mtafuta MUNGU wasimiliki mali kubwa kubwa kwa sababu tu weti ni watumishi ...halikubaliki.
 
Mjasiriamalishupavu hii ndo JF bana

hata shetani ana watetezi wake. usilie sana ndo ilivo hivo
 
Nampa hongera sana huyu Mchungaji Lwakatare.
1) Kwanza ni mwanamke mchungaji, na kazi anayofanya kweli inaleta utukufu kwa Mungu.
2) Ni mjasiliamali, hivyo kaleta ajira nyingi tu kwa wanawake na kwa wanaume. Kaanzisha shule, radio station ile ya praise power, SASATEL na sasa anataka kuanzisha hiyo Foundation ya christian women. Vitu hivi vyote vinaleta maendeleo kwa taifa letu na ajira nyingi tu.
3) Hivi ni mbunge vile vile huyu mama, analitumika taifa lake pia.
Na tukumbuke, huyu mama ni binadamu, kama binadamu kila mtu ana mazuri na vile vile ana mapungufu yake. Aliye kamili ni Mungu peke yake.
Hivyo mimi nampa big up mama Lwakatare kwa kazi zake anavyofanya za kumtumikia Mungu na Taifa vile vile.
 
Napenda alivyo wa pumbaza watanzania wenzangu wanaume kwa wanawake,watoto kwa wakubwa na vijana kwa wazee viva mama lwakatare aluta continue mpaka watakapozinduka usingizini utakuwa tayari umewaponya wengi wenye misongo ya akili
 
Duniani watu wanagawanya ktk makundi matatu (3) ktk dhana ya civilization.
Kundi 1 (uncivilized): Watu hawahukaa na kuwajadili watu
Kundi 2 (Civilizing...): Watu hawa huwa wanapendelea kujadili vitu
Kundi 3 (Civilized): Hawa huwa wanajadili ideas, issues ...

Wewe upo ktk kundi lipi?
 
supper - civilized
 
Good day Wana JF,
Pole kwa kashfa mkuu wa kaya ya Dodoma!

Jamani mimi naona tumjadili Mh., Dr., Mchungaji, Mkurugenzi wa St. Mary's & Kenton na Founder & President wa SASATEL or LESS BADO, mama Getrude Lwakatare! Ama kweli uamuzi wake wa kuacha kazi bandari na kwenda Ughaibuni ku-study Masters Degree in " Spiritual Ujasiriamali" haikua bahati Mbaya!

Inasemekana pale Mikocheni Assemblies Of God, yeye ndio Alfa na Omega, Plot lilipo kanisa ni ya kwake na kanisa ni mali yake binafsi, a certificate right of occupancy (Title Deed) is in her name. Wachungaji wameajiliwa na wanakula mshahara na ukileta fyoko unatimuliwa!

Hivi karibuni kumekuwa na matangazo kwenye TV na radio, nikuhusiana na Christian Women Foundation, kaandaa tamasha kubwa sana pale Diamond, ashauza special ticket kwa Waheshimiwa akiwemo waziri Sophia Simba kwa laki moja kila ticket japo inatangazwa kwamba ni Sh. 10,000, 5000 na 3000.

habari ndio hiyo, naomba kutoa hoja!!!!!!

Sina la kusema kuhusu hayo mengine.Nimeongeza rangi nyekundu kwenye maandishi yako.Attached is the document i request you to read.Humo utaona Founder wa Dovetel(Brand name ni SasaTel) ni nani(Peter Chitamu) na nini role(Malipo ya awali katika mradi huo) ya Mama Lwaakatare.
 
Attachments

  • TheNewPlayer_English.pdf
    92.9 KB · Views: 102
Unataka akale polisi?inasemekana kuwa hakuna bishara nzuri kama kuanzisha na kuendesha thehebu tanzaniakodi hakuna,misaada bure nk
 
Hebu mwacheni huyu mtumishi wa Bwana.Kama vipi basi na nyie anzisheni kanisa mchume kama yeye.Kwani ana kosa gani?Hamwiibii mtu wala hanyanganyi kisichokuwa chake.Wenyewe mnampelekea sadaka ,sasa hata ningekuwa mie niache kuanzisha benki au Phone Company si mtanishangaa tena na kuniita bumbuwazi.Acheni hizo tena nawaonya kabisaaa mwacheni Mpogoro wa watu.Mbona hamyazungumzi ya Elias Mwingira,Kakobe au Lusekelo.Ama kwa kuwa kawa mvaa gauni basi ndo inawauma.ACHENI HIZO!!!

Yes, an acumen woman but a well and strongly connected in one of the sophisticated triangular money laundering rackets across the globe, be aware!
 
Last edited:
Haya sasa!
Kumjadili mtu na huku facts kwanza ni potofu.Ndugu kwani huyu Mchungaji kakukosea nini hadi utake kumchafua humu mtandaoni? Kama anayoyafanya ni rahisi hebu na wewe ujaribu halafu na sisi tuje hapa tukujadili.Kwamba anaendesha kanisa kwa misingi usiyoipenda, hiyo siyo juu yako kumhukumu.Yuko JUDGE MKUU wa kuhukumu kila mtu hiyo siku ikifika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom