Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,256
Mchungaji Getrude Rwakatare alikuwa maji ya kunde, sasa ametakata kwa pesa na wokovu. Pesa ni shetani, kama ni kweli anawarudisha yatima makwao, then shetani la pesa limesha mwingilia.
Nilipomuona kwenye siasa, nikajua ama anapeleka wokovu bungeni kwenda kuliokoa unge letu dhidi ya matukio ya ushirikina, ama uchungaji wake ni wa tamaa ya madaraka.
Aliwahi kuhubiri juu ya utajiri na kusema kusudio la Mungu kwa watu wake ni utajiri katika nchi ya maziwa na asali. Akasisitiza umasikini ni laana.
Hivyo yawezekana hao watoto yatima sasa yaonekana wamelaaniwa, hivyo ameamua kunawa mikono kwa kuwarudisha makwao wakafie mbele.
Tusiseme sana, ngoja tusubiri uthibitisho.
Sawa sawa kabisa mkuu Pasco, huyu mama ni Mkuu wa Shule,Mchungaji wa Kanisa lake,Mbunge na vile vile ni Dr.
Watu wana seema she is a jack of all trades.
Kwa wanaomuelewa she is an oppurtunist of the highest order.
Matokeo yake ni kuwa kila kitu kinaaza kuporomoka kwa sababu ya kukosa matunzo.Pale Mbezi St Mary,s kuna waalimu waliachia ngazi kwa kukosa mishahara.