Malyamungu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 363
- 12
Japo sina saabu za msingi sana za kutom-mind mama huyu, mimi binafsi nahisi something is not right katika shughuli zake. Lazima kuna mahala anajificha, nahisi ni kanisani. Though najua ni kawaida kwa binadamu kutaka 2 baada ya kupata 1, na kutaka 3 baada ya kupata 2 na kuendelea.
SAsa huyu ni mtanzania kaanzisha shule na pia inakwenda kuwa UNi, jamani mlitaka iwe inamilikiwa na mwekezaji kutoka wapi sasa?? Mbona tunakuwa tena hatuungi mkono Mtanzania mzalendo akileta jambo jema???
Kwa hiyo kila mtanzania akiwekeza ni BOT?????
Yeye kuwa nyuma ya mtu or something kama kanisa ulitaka fedha zitoke nchini au ziingie nchini??
Ndugu yangu kama ni hela za kanisa kama unavyojua wewe huyu mama nafanya kazi kubwa sana to make fundraisation abroad ni kazi kubwa sana kwani anazunguka makanisani kwa kwenda mbele. Mungu ammbariki.