Suala hapa sio kufanya kazi au kutofanya kazi, suala ni jinai ya kugushi chetiSo what? Awe ana zero au hana so long anafanya kazi zake vizuri haina shida. We don't care about the colour of the cat so long it catches mice
Atakua anaongea na simuUnaongea na Gwajima au unaongea na simu?
Trump ana scandal kubwa litafumuka huko mbele anajihami mapema ili aje awaambie ni fake news.Ile ni fake news media ,CNN. Kwa mujibu wa Trump.
Ujuha ni aina ya mtu kama wewe.yaani asiyejiongeza kataka akili yake ijue kuna nini kinaendelea kwenye malumbano ya hawa watuWewe ndiye unayechosha. Ukitupa jiwe kwenye mzinga wa nyuki wakakubg'ata utawauliza walikuwa wapi wasikung'ate kabla ya kuwatimua kwa jiwe? Hilo swali au ujuha?
kweli hadhi ya JF imeshuka yaani wapumbavu ni wengi yaani mtu unatetea kufoji cheti?Fools. Rudini Facebook, mnachafua hadhi ya JF
Huu mkoa utauhama siyo kwakua maisha magumu ila unasemwa sana yaani sana, sasa hivi RC ndiyo kasababisha kila mtu aukodolee.
STATEMENT OF RESULT!Ukiramba Div O Hakunaga Cheti
Ukiwa na tabia ya kutumia vyeti bandia utaendelea nayo mpaka ikuangamize.hicho cheti cha mwenzie ni cha la 7 ama form 4?
Pia ata huyo Paul Makonda orgnal lazma ile kwake,kwann auze chet chake?Daudi bashite katumia cheti cha Paul makonda. Imekula kwake
usituletee UBASHITE hapa nilifikiri ungebandika hizo original zake ilikukata mzizi wa fitina tuendele na mengineSakata la Makonda
Najiuliza:-
1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?
2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?
3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?
4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?
5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?
Shilatu E. J