Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ziro ya cheti cha ndoa au, maana ndo hupatikana kanisani
 
Mh.Makonda asipochukuliwa hatua,watumishi waliofurushwa kwa kutumia vyeti feko nao warusdishwe kazini haraka,kwamaana itakuwa uonevu sasa
 
Ngwajima ni chizi tangia lini mwenye zero akapewa cheti?
 
Bwana yesu asifiwe sana...
bwana yesu asifiwe sana...

Bwana aliye mwema amenituma nizungumze nanyi mawili matatu juu ya dungu yetu bwana daudi....

Sasa basi
GHapa kwenye Ofisi ya Kanisa tunacho cheti chake alichozungusha
ZERO
30_20e3.png
0⃣...sema Ameeen!!
"Ameeeen!!

[HASHTAG]#gwajima[/HASHTAG]
Acha unafiki ndugu, ni Bwana gani aliyekutuma wewe!
Hilo kanisa lako litakuwa feki.
 
Tulia dawa ukuiingie taratibu utapona,Makonda kasoma Ushirika na marafiki zangu hii story walishanimegea zamani sana sikuamini leo Askofu kaniondolea mashaka dhidi ya huyu dogo hana mahali pa kwenda.



Ukirusha Jiwe Gizani ukisikia 'yalaaaa ' Jua umelenga shabaha ipasavyo!

Chadema imeungana na Mateja na Wauza Ngada kumshambulia Makonda
 
Mfalme sulemani aliomba hekima kwa MUNGU baada yakupewa jukumu la kuongoza.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Hata Yeye kawasema sasa na ndio sasa nawao wanamsema mwacheni tu asemwe walisema wenyewe kila jiwe litawekwa juu na mawe yenyewe si mmeanza kuyaona kigumu Chama Chao Mafahali
 
miaka ya zaman walikuwa wanapewa, baada ya ndalichako kuanza kuwa Katibu Mtendaji wa baraza, huku mwenyekiti wake akiwa Prof Mkandala, ndio wakasitisha hyo huduma...

fuatilia kwenye familia yako huko nyuma utakuta kuna ndugu anacho, kama hakuna kabisa
Kwa kesi hii ina maana si kweli kuwa Mchungaji ana cheti cha jamaa cha zero,maana mwaka 2004 sio zamani kiongozi.
 
Gwajima bana, hana vyeti ila atakua na matokeo. Maskini Daud si aonyeshe tu vyeti vyake watanzania wamuelewe huko kubunda sijui anamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom