Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
kabla ipi unataka kusema saahizi ndo kabla yake imafika,nchi hii watu tunajuana sana,ila pale unapotaka kuonyesha umafia wako kwa wengine ndo kabla yako inaanzia hapo kwa kufunuliwa hadharani,ona sasa aibu ya karne kwa RC.daudi
 
huyu hata umri wake tuufanyie kazi hawezi kuunga unga hivyo halafu leo 2017 awe sawa na mimi kiumri niliyenyooka bila kuunga unga bwana...
 
Makonda ni hodari sana kuvitumia vyombo vya habari,Nasubiri nione akivitumia ili akanushe tuhuma hizi vinginevyo vyombo vya Habari vimtafute atuambie ukweli wa hili.
Tukumbuke wengi wamepoteza ajiri zao kwa ajili vyeti vya kughushi Kwa nini yeye a achwe? Wapi Ndalichako? Wapi NGOSHA?


Haaa haaa nilimwona anaombewa na masheckh haaa haaa.
 
Well done Makonda

Historia yako imekaa vizuri

You are a fighter

Umetoka familia ya kimasikini lakini kwa sasa Mungu amekufikisha hapo Ulipo...Sio jambo dogo kabisa

Na Mungu atazidi kukubariki
Hakuna u fighter wowote wa kutumia njia za kihuni afu tukusifie..... yaani unafoji vyeti afu mnamuita fighter??? Hii nchi yetu mnataka kuipeleka wapi eti mnahalalisha uhuni kwa kuuita ndio UFIGHTER??

By the way makonda kafika hapo alipofika sababu ya kukutana na Samuel Sitta outside that HE is nothin coz alishindwa kusimama kwa miguu yake mwenyewe zaidi alibebwa each stage na Mzee sitta (RIP)

Mafighter ni kma nape aliyefeli ila hakufoji vyeti but aliunga unga hadi akafika masters sio huyu mhuni anayetumia shortcut afu mnamuita fighter
 
Alikua ni kilaza kupita kiasi.ndio maana anaropokaropoka ovyo
 
Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Labda anamaanisha hicho cheti ina D 2 ambazo hazimpeleki popote,kwa hiyo ikawa sawa na zero
 
Wabongo waogope Sana.

Ukimwaga mboga wao wanamwaga ugali na maji ya kunawa kabisa.
Na huo ndio utaalamu wetu tuliobobea kuliko wa kumjenga mtu, btw haya mamb watu wangekuwa wanayaibua mapema kabla ya mtu kufanya blunder tungefika mbali maana hapa lazima watu wagawanyike ambapo kuna ambao watasema "roho mbaya kwa kuwa ameibua issue ya madawa" na wengine watasema ni kweli
 
Dah asee watanzania ni hatari sana kwa afya ya mlaji. Leo mkuu sijui kama anaingia huku kwenye social media akaona watu wanavyomsakama. Anasema wanaomsakama ni wauza unga ila now imekua too much lazma ajitathmini.
 
Sizonje hii ndio nyumba yetu,
Milango ipo, wanapita madirishani,
Ingia uyaone maajabu ya nyumba yetu!!

....Ahsante Mrisho Mpoto kwa utunzi maridhawa
 
kila nikifikiria hili la makonda naumia sana kama ni kweli real unafiki mkubwa unatuua na utaendelea kuwa ugonjwa wetu kwanini haya yote yasitokee kabla?
 
Back
Top Bottom