Alitakiwa amalize darasa la saba 1994,hesabu kuanzia 1988 yenyeweDuuhkaanza la Kwanza 1988 kafeli La Nne Mara 2 bado akamaliza 1996? Mbona mapicha picha
![]()
Kwa hiyo Ndalichako ana majibu lakini kaamua kukuaa kimya? sasa hao anawatishiaga kuwa watakiona cha moto huyu RC hayumo kwenye kundi hilo?sio zaman hata sasa leaving unapata kama kawaida maana huwa inatoka kabla hata yakufnya mtihan
Hii Vita ya madawa ya kulevya nimeamini sio ndogo kama hadi viongozi wa dini wanamfokea makonda kwa njia zote za uongo au ukweli za haramu au tukufu .Makonda kakanyaga waya wa umeme wa msongo mkubwa wa umeme kugusa madawa ya kulevya. pole makonda drug lords kama ilivyo America kusini they are sticking back Na hawatapumzika hadi uondoke.Cha msingi umetuamsha kujua who is who katika hii biashara ya madawa ya kulevya kujua nani ni muuuzaji au mnunuzi au mtumiaji au protocol officer au mchunga au sheikh au afisa au ni bodyguard au ni mwanaharakati au ni mwanasheria au ni mtetezi wa wahusika wa dawa za kulevya.Makonda umeturahizishia kazi come what may to you .you have done your partKWA HILI KADANGANYA AU KADANYANYIKA..NECTA HUWA HAITOI DIVISION ZERO CERTIFICATE..TUNAMUOMBA MH GWAJIMA AKIONYESHE HICHO CHETI.
Alipata leaving hata kwenye graduation alikuwepo na mashada alivaa. Cheti ambacho hakupata ni cha masomo (Academic certificate)Na hapo ndipo watz tulipofungwa akili zetu,tunafuata mkumbo tu,div 0 na cheti wapi na wapi?
Anhaa PhDMaisha ya watetezi wa wahusika wa madawa ya kulevya ni ya kusikitisha sana. Hivi huyo Gwajima yeye kielimu yukoje, kaishia kiwango gani ama sivyo naogopa tusije kupoteza mda wetu mzuri kuwajadiri watu wasiojitosheleza
Hahaha, watu walikosa pa kukimbilia maana mwana mfalme alisema mkoa wake now wamepata.Kosa lingine Makonda anashindwa kuelewa anadhani anapambana na Gwajima as individual. Gwajima ni institution, ana waumini wengi sana. Lakini kuna watu wengi sana wako kinyume na Makonda wako serikalini, wengine ni watumishi, wengine ni wanasiasa, tena ambao wanajua details zote za mhusika. kwa hiyo wanachofanya kwa kuwa hawana uwezo wa kusema wao wenyewe, wanapeleka kwa Gwajima anapasua pwaaaaaaaaaaaaaaaah.
Kwani statement of results/result slip kwa kiswahili inaitwaje vile?!!Au cheti ni lazima kiwe certificate lakini hata hiyo result slip ni certificate na hata cheti cha hospitali pia maana kinakuwa certified na Dr nadhani, vinginevyo pharmacy wasingetuuzia dawa.Bado Gwajima yuko sahihi.Hakika mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,siku ya jana wengi tumesikia audio ya mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Josephat Gwajima ikiwa imelenga kujibu mashambulizi dhidi ya mkuu wa mkoa mh Paul makonda,katika sakata linalotuhumu u halali wa elimu aliyonayo mkuu huyu wa mkoa.
Moja ya vitu vilivyotamkwa na kiongozi huyu wa dini ni kuwa anamiliki vyeti vyote vya mh Paul makonda kile alichoPata division zero na hicho chakugushi.
Mchungaji Gwajima kwa kauli hii ya kumiliki cheti cha mtu mwenye division zero inaalalisha uongo maradufu kwani,kuanzia nnchi hii imepata uhuru NECTA haijawahi kutengeneza cheti cha mtu aliyepata sifuri,Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu tena mwenye wafuasi wengi kiasi chako kutumia madhabahu kuongea uongo.mh gwajima huenda akawa napoint dhidi ya elimu ya makonda ila ameitamka kwa kukurupuka,mh Gwajima zungumza kwa kutulia,bado tutatega sikio kukusikiliza na wala hatutakupuza..
Amjibu nani sasa?Huyu bashite si ajibu mwenyewe
PAUL MAKONDA: Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).