Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Tujifunze unapojiona wewe ni msafi sana na kuanza kuchafua majina ya watu matokeo yake ndio haya.nasikia anashinda kwa masheikh na maaskofu wamuombee sijui ndo apate cheti hata aeleweki. Tujifunze jamani
Hata wanao muombea nao wana matatizo
 
Atafumba ili kuficha kashfa ya kuwa alichagua bosheni maana yy ndo alimteua
Na yeye walikuwa wanahoji kale kaphd kake kuwa hakakukamilika sijui wameishia wapi. Mimi naona uhakiki sasa uhamie kwa viongozi wote kuanzia mawaziri, ma RC, DC, RAS, DAS, Wakurugenzi wote.
 
Kwa taarifa au mada hii INA maana Utawala wa chuo cha uvuvi Nyegezi ulidanganywa.

Chuo cha uvuvi Mbegani walidanganywa

Chuo cha ushirika Moshi walidanganywa

Rais mstaafu Kikwete alidanganywa

Rais wa sasa Dr Magufuli amedangangwa

Watu wote hao kudanganywa na MTU mmoja na umaarufu wa intelligensia yetu kitu ambacho hakiingii akilini hata kidogo.

Na yote haya kwanini yasemwe baada ya Mh Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya???

Ninapata shida kujua ukweli ni UPI lakini naamini Serikali iko makini ktk kazi zake.

One person is wright
 
besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la Makonda
Aliapa mahakamani ili kutumia 'Makonda'.
Hivi utaratibu ukoje baada ya kuapa huko mahakamani, hutatakiwa kwenda RITA na docs za mahakamani ili kubadili jina kule?
 
Haaa haaaa ukiishi nyumba ya kioo usirushe mawe 🙁
 
Nitarejesha imani yangu kwa Magu endapo atamuondoa huyo Daudi Bashite kwenye hiyo nafasi. Nje ya hapo sitakuwa na imani nae tena kwa kuwa atatuaminisha kuwa anaongoza nchi kwa upendeleo na kuwalinda watu wasio na sifa ambao kwa sasa wapo kwenye nafasi fulani fulani.

Amtumbue Daudi Bashite ili arejeshe imani iliyoanza kupotea.
 
Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero

Tulia dawa ukuiingie taratibu utapona,Makonda kasoma Ushirika na marafiki zangu hii story walishanimegea zamani sana sikuamini leo Askofu kaniondolea mashaka dhidi ya huyu dogo hana mahali pa kwenda.
 
Kwa taarifa au mada hii INA maana Utawala wa chuo cha uvuvi Nyegezi ulidanganywa.

Chuo cha uvuvi Mbegani walidanganywa

Chuo cha ushirika Moshi walidanganywa

Rais mstaafu Kikwete walidanganywa

Rais wa sasa Dr Magufuli amedangangwa

Watu wote hao kudanganywa na MTU mmoja na umaarufu wa intelligensia yetu kitu ambacho hakiingii akilini hata kidogo.

Na yote haya kwanini yasemwe baada ya Mh Makonda kutangaza vita ya dawa za kulevya???

Ninapata shida kujua ukweli ni UPI lakini naamini Serikali iko makini ktk kazi zake.

One person is wright
Hata wewe umeshadanganya
 
Nitarejesha imani yangu kwa Magu endapo atamuondoa huyo Daudi Bashite kwenye hiyo nafasi. Nje ya hapo sitakuwa na imani nae tena kwa kuwa atatuaminisha kuwa anaongoza nchi kwa upendeleo na kuwalinda watu wasio na sifa ambao kwa sasa wapo kwenye nafasi fulani fulani.

Amtumbue Daudi Bashite ili arejeshe imani iliyoanza kupotea.


Yaani wewe mpaka leo una amini sanaa za tumbua tumbua.Kwa taarifa yako ebu tazama nafasi za wakuu wa NSSF na kadhalika wamepachikwa watu toka sehemu gani halafu ukimaliza mtazame Makonda katokea sehemu gani.
 
Team Daudi À Bashite kimyaaaa.. Ha ha ha à naona bado wanachungulia madirishani pale lumumba.. Maana Nje hakuendeki

CC ": Lizabon
Nawashangaa maana hatuwaoni tangu tulivyoanza kumpiga za uso mtu wao na wakae wakijua mtanange huu hautaisha mpaka Daud alete cheti
 
*CV YA PAUL MAKONDA*

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni *Daudi Albert Bushite*

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya *Daudi Albert Bushite*. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha *Ndg.Paul Christian Muyenge*, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg.Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Mayor Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management &Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokua akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na _carries 3_ ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa _carry over_ na _supplementary_. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community &Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community &Economic Development kwa jina la *_Paul C Makonda_* badala ya majina yake halisi ya *_Daudi A Bushite_*

19. Jina *_Makonda_* analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka *_Paul C Muyenge_* lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka *_Paul C Makonda_* baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bushite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.



Siasa za kibongo ni hatari sana.....

Wakiamua kitu watasaka hadi kaburi la bibi yako‍♂‍♂
 
Back
Top Bottom