Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Machoo koooodo, kosa la jinai kufoji vyeti sijuhi hii sinema wataichange kwa taarifa ipi ili kututoa kwenye tension
 
Ndalichako mbona kimya,wakati wale vijana wa mbeya day ulitoka kwa kasi
 
Mchungaji Gwajima sikiliza neno la Bwana, ili ujitafakuri imani na kazi yako ya Utumishi wa Mungu.

Mt 5:39 - "haupaswi kulipa baya kwa baya! Badala ya kulipa baya kwa ndugu yako, unapaswa uwe tayari kuteseka au kudhulumiwa".

Njia pekee ya kuvunja ubaya na mzunguko wake ni KUSAMEHE. Kama mtu akilipiza ubaya kwa ubaya zaidi, ubaya hauondoi ule ubaya wa mwanzo bali unaongeza ubaya zaidi. Mzunguko huu wa ubaya, unaweza tu kuondolewa kwa msamaha wa kweli, kutoka ndani mwako.

Mfano, Simoni wa Kirene alilazimishwa kubeba msalaba wa Yesu (Mt 27:31). Huyu ambae alikuwa Zelote, wana mapinduzi wa wakati huo waliwashawishi kugoma na kulipiza kisasi, kupinga kitendo kama hicho. Yesu anawaambia wafuasi wake "sio sheria ya hekima" tabia hiyo haiwezi kuleta matunda mazuri. Anawaambia wafuasi hata bila ya kukunja moyo wafanye kwa uhuru kabisa, bila kupinga, kujiepusha na kitendo chochote ambacho sio cha upendo.

Mchungaji Gwajima, hubiri upendo, ambao msingi wake ni KUSAMEHE. Kama tungehesabu makosa yetu, nani angesimama!

Mh RC Makonda, wewe ni mtumishi wa Kaisari, yaliyosemwa na Mtumishi wa Mungu yanakuhusu wewe kama wewe, msamehe kwa kuepusha kutumia rungu lako la Kikaisari.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
Ninahitaji hakhi itendeke bila kuangalia cheo cha mtu huyu jamaa kama alifeli na akatumia cheti chamtu mwingine hatua zichukuliwe zidiyake ..tumeshuudia watoto wamasikini wakifukuzwa vyuoni eti nivilaza sasa huyu kama nikilaza bado serikari inasubilia nn kumtumbua
 
Wabeja sana wanajukwaa.

Kwako DAUDI BASHITE mteule wa wateule nataka nikupe pole na kazi za kuikomboa dar es salaam na pia nikutia moyo kwa kazi ngumu na maneno ya wasio kupenda na wale wanaokupenda.

Hakika natambua yakuwa upo katikati ya bahari hujui wapi utokee na wapi ushike kwani kila mahali wabaya wako wanakuandama.

Daudi Bashite wew nimtoto pekee kwa Baba yetu sizonje unayeaminiwa hivyo usife moyo na maneno madogo madogo kama yale ya kuazima cheti kwani hata baba mwenyew ile PhD yake alitafuniwa yeye akameza tuu hivyo usiogope baba yupo na anasikia maneno ya wabaya wako na hawezi kukuacha ukafa peye yako,

Daudi Bashite kuna maneno mengine wanasema eti wew pesa unazipata wapi hadi umeweza kufanya maendeleo kwa mda mchache namna hiyo....Daudi kaka yangu usiwajibu kitu kwani hawajui hata sizonje kashapitisha mapesa billion 6 zinajenga visima kule kijijin kwetu na pia uwanja wa ndege japo hakuna watu lakin kajenga...hivyo tambua mawazo yako ya kupiga pesa hata baba anayo na anayafanya.

Daudi Bashite wew ni lulu ya baba etu mpendwa sizonje hivyo usifanye makosa ya kuonyesha vyeti vyako kwani utamuumiza baba etu.

Daudi wew ni kama maji kwa wanadar es salaam wasipo kutumia wakati wa kupikia basi watakunywa na wasipo kunywa basi wataoga tuu....

Daudi chapa kazi na watoto wa mjini endelea kiwatafuna na kuwapangia majumba mazito kwani ulikotoka nimbali na hawa watoto wazuri usipowala sasa hivi utakuja kujutia uzeeni kila kijana wa kisasa anatamani kuonja papuchi za hawa watoto wa mjini....

Daudi bashite huu ndo wakati wako wa kuutumia ujana wako kabla baba hajafa...kumbuka yule mtabili wa kifo cha baba atatoka gerezani hivi karibuni kwahiyo chuma mali mapema kabla maono hayajatimia.

Mchana mwema kaka Daudi mie naenda shamba kwasasa tutaonana jioni.
 
Vilaza ndo watapata shida,,
Endeleza mapambano D.
Hats hao wanaodai uoneshe vyeti vya kwao tu wanavicha watu wasijue majibu yao,,,Sembuse were Tz nzima.
 
Mchungaji Gwajima sikiliza neno la Bwana, ili ujitafakuri imani na kazi yako ya Utumishi wa Mungu.

Mt 5:39 - "haupaswi kulipa baya kwa baya! Badala ya kulipa baya kwa ndugu yako, unapaswa uwe tayari kuteseka au kudhulumiwa".

Njia pekee ya kuvunja ubaya na mzunguko wake ni KUSAMEHE. Kama mtu akilipiza ubaya kwa ubaya zaidi, ubaya hauondoi ule ubaya wa mwanzo bali unaongeza ubaya zaidi. Mzunguko huu wa ubaya, unaweza tu kuondolewa kwa msamaha wa kweli, kutoka ndani mwako.

Mfano, Simoni wa Kirene alilazimishwa kubeba msalaba wa Yesu (Mt 27:31). Huyu ambae alikuwa Zelote, wana mapinduzi wa wakati huo waliwashawishi kugoma na kulipiza kisasi, kupinga kitendo kama hicho. Yesu anawaambia wafuasi wake "sio sheria ya hekima" tabia hiyo haiwezi kuleta matunda mazuri. Anawaambia wafuasi hata bila ya kukunja moyo wafanye kwa uhuru kabisa, bila kupinga, kujiepusha na kitendo chochote ambacho sio cha upendo.

Mchungaji Gwajima, hubiri upendo, ambao msingi wake ni KUSAMEHE. Kama tungehesabu makosa yetu, nani angesimama!

Mh RC Makonda, wewe ni mtumishi wa Kaisari, yaliyosemwa na Mtumishi wa Mungu yanakuhusu wewe kama wewe, msamehe kwa kuepusha kutumia rungu lako la Kikaisari.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
Hapa halipi ubaya.
Analiokoa taifa dhidi ya wapumbavu ambao hawana hekima.
Sasa mtu ambaye elimu yake ni zero. Unadhani ana uwezo wa kuchanganua na kuona mbali? Zaidi ya kuongoza kiujanja ujanja?
 
Anadhalilisha watumishi
Well done Makonda

Historia yako imekaa vizuri

You are a fighter

Umetoka familia ya kimasikini lakini kwa sasa Mungu amekufikisha hapo Ulipo...Sio jambo dogo kabisa

Na Mungu atazidi kukubariki
 
Huyu anaomba ardhi ipasuke ili aingie. Anaandamwa kama mwanamgambo wa Islamic State. Nadhani atakuwa anajuta kwanini aliiba cheti cha yule mtangazaji wa redio.
 
Huyu bwana mdogo anawapa tabu sana, kwani lazima kila mtu amuanzishie uzi?
 
Back
Top Bottom