Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Aende akapige QT asilete usanii,watu wametoil?ye anataka njia za mkato .....
Mkuu nakumbka kipind cha olevel unagongea kibatari ama tochi ili utoboe O-level ikawa fresh A-level hivyo hivyo chaka pori Asubuh mpak saa 9 af usiku prepo nzito ili mtu utoboe alafu mtu mwingne awe ni magumashi alafu mjuaji inakera sana
 
Kwa maoni yangu hata kama alipata zero lakini kwa vitu anVyovifanya inaonyesha ni mtu mwenye elimu ya uprofessa,endelea Makonda na Mungu u pamoja nawe.
Shikilia hapo hapo kwani nchi ilikuwa imeshaoza kwa madawa ya kulevya kwavile hata wale tulioamini wanatuongoza kwenda peponi nao walizama ktk biashara hii.
Makonda mti wenye matunda mazuri na matamu ndiyo hupigwa mawe,ipo siku watakuambia tunajua hatakitovu chako kilipotupwa ili tu ukatetamaa.
Acha kushabikia ujinga, kama ni kweli kafoji anastahili kunyanganywa na hizo certificate zote, kama kaweza kufoji cheti ujue kuna vitu vingine vingi anafanya kwa kulazimisha,

Assume angekuwa ni daktari wa muhimbili
 
Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?
Kwahiyo unataka kuhalalisha haramu?
 
Niliwahi kuona video clip ya wazazi wa Makonda wakihojiwa Clouds tv katika kipindi cha take one,ningependa kufahamu baba yake alijitambulisha kwa jina gani alipokuwa anahojiwa na Zamaradi Mketema kama na yeye aliongopa awekwe kikaangoni.
 
Kile kichwa cha Gwajima ninakiaminia, Bulembo mwenyewe alisarrender.

Mkuu Bashite aligusa pabaya...haya nilijua yatakuja...shindana na Gwajima kama upo clean 100% (kitu ambacho sio rahisi) ila kama una makandokando yako achana na Gwajima...atakumaliza.

Zaidi ya yote Dr G unajua sana kukuza jambo hata kama ni Dogo kiasi gani linaweza onekana kubwa balaa. Mtu una vyeti feki unaanzisha bifu na Gwajima???hujitaki.
 
Makonda ni hodari sana kuvitumia vyombo vya habari,Nasubiri nione akivitumia ili akanushe tuhuma hizi vinginevyo vyombo vya Habari vimtafute atuambie ukweli wa hili.
Tukumbuke wengi wamepoteza ajiri zao kwa ajili vyeti vya kughushi Kwa nini yeye a achwe? Wapi Ndalichako? Wapi NGOSHA?
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?

Tumsifu bwana yesu kristo
 
Mchungaji akuanzaye mmalize
 
Makonda ni hodari sana kuvitumia vyombo vya habari,Nasubiri nione akivitumia ili akanushe tuhuma hizi vinginevyo vyombo vya Habari vimtafute atuambie ukweli wa hili.
Tukumbuke wengi wamepoteza ajiri zao kwa ajili vyeti vya kughushi Kwa nini yeye a achwe? Wapi Ndalichako? Wapi NGOSHA?

Ngosha kwa Daudi Bashite basikia hakohoi...kwa maana hyo unamuone tu Ndalichako wa watu..
 
Cheti za zero alicho nacho ni kipi wana jamii? Mimi pia niliruka na zero lakini sikupewa cheti.
 
Kwahiyo unataka kuhalalisha haramu?
Wewe mwenyewe ni haramu in one way or another, swali langu Paul hajasoma? Hakupitia hizo hatua za vyuo? Kama amepita tuhuma zenu juu yake ni elimu au utendaji wake? Ama uthubutu aliofanya kutimiza wajibu wake.
 
Back
Top Bottom