Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa serikali mkatamateni mpeleke mahakamani ili akathibitishe mnaogopa kitu gani wakati mna mapolisi wenye virungu na bunduki
 
Gwajima ni mtu mdogo sana kwa serikali mkatamateni mpeleke mahakamani ili akathibitishe mnaogopa kitu gani wakati mna mapolisi wenye virungu na bunduki
Mkuu sikumaanisha hivyo ila nimesikiliza hii clip nikaona huruma. Hakuna sababu ya kufika huko ila naona hili litufundishe kitu ndugu yangu. Hatari sana hii. Hii ni nivue nikuvue style
 
Mkuu sikumaanisha hivyo ila nimesikiliza hii clip nikaona huruma. Hakuna sababu ya kufika huko ila naona hili litufundishe kitu ndugu yangu. Hatari sana hii. Hii ni nivue nikuvue style
Kweli kabisa mkuu na haya ndiyo maisha halisi yanayopandikizwa kwetu na wakubwa
 
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Toa uthibisho, pengine ukishirikiana na baba yako. Kikanusha hapa tu hakutasaidia maana yale aliyosema Gwajima yanaonekana ya kweli
 
Dah! Bashite.... Alitaka kukimbia na hana breki!
Zero tena. Duh! But is not an issue, issue NI VYETI FEKI.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Inaonekana hujui THE ART OF WAR.

Kwenye vita hutoi silaha kali kwanza,

unaanza na zile ndogo ndogo kisha, ukiona adui anataka kukuzidi maarifa ndipo unatoa zile za maangamizi. Ndicho alichofanya GWAJIMA kwa BASHITE.
 
Kweli kabisa mkuu na haya ndiyo maisha halisi yanayopandikizwa kwetu na wakubwa
Turudi kwenye misingi ya utu aise. Hatutafika kwa style hii. Tuheshimiane na kukosoana kwa busara. Wanaoongoza na wanaoongozwa.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Hilo ni swali la kitoto lililo ulizwa na mtoto, kila jambo huwa na wakati wake kutokana na influence itakayo sababisha jambo hilo kutokea, unapo jipanga kutaka kupigia kelele usafi wa nyumba za majirani ndipo nao watakapo anza kukagua kwanza usafi wa nyumba yako kikamilifu.
 
Kwa mchezo huu bwana daudi bashite mpaka dakika hii kapigwa 5 bila Na bado dakika za mwanzo mkisikia Kumi bila ndo hapa sasa ngoja dakika tisini zikiisha ntarudi
 
Mmmhh kazi ipo ngoja tusubiri tuone what next,kwani ile Masters ya Ndulichake veep hiyo veep vip
 
Back
Top Bottom