Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nimeona hyo kamvua nguo zote walalh huyu dogo imekula kwake sujui atagombea nn na vyeti vyake feki ni pingamizi tu atendelea kuteuliwa viti maaluum tu na sizonje wake
Viti maalum vikipigwa stop basi tena Bashite masikini
 
CV YA PAUL MAKONDA

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni *Daudi Albert Bushite*

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bushite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg.Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Mayor Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management &Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokua akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na _carries 3_ ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa _carry over_ na _supplementary_. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community &Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community &Economic Development kwa jina la _Paul C Makonda_badala ya majina yake halisi ya _Daudi A Bushite_

19. Jina Makonda_ analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge_ lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda_baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bushite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
 
Niliwahi kuona video clip ya wazazi wa Makonda wakihojiwa Clouds tv katika kipindi cha take one,ningependa kufahamu baba yake alijitambulisha kwa jina gani alipokuwa anahojiwa na Zamaradi Mketema kama na yeye aliongopa awekwe kikaangoni.
Hata Mimi niliwahi kutaza kipindi hicho...,na kumbuka mzee alijitambulisha somebody MAKONDA.

Hapo ndipo ninapopata ukakasi juu ya hili suala.
 
Tokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
Labda leaving certificate, embu tusubiri avitoe hadharani maana sidhani kama jenga polepole msiba atamgusa.
 
Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
hapa kosa si uteuzi wake, kosa ni kutumia cheti/jina la mtu mwingine kujinufaisha.

japo teuzi za kisiasa hazikuachwa zielee bila ya kuwa na sheria fulani ndo maana unaona lazima uwepo wa akili timamu, ujue kusoma na kuandika na nyinginezo.

lazima jamaa awajibike kwa wizi wa jina (kama ni kweli), kama tu wizi wa maandishi unawajibishwa vp? wizi wa jina?

mkuu mapenzi yasikutie upofu.
 
Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?
Yaani wewe ndio mpumbavu zaidi yangu hahaha ni mpumbavu juu ya wapumbavu wote! Unatetea ujinga? Kuna ndugu zetu wangapi wamezungusha na tumeshindwa kuwapa vyeti vyetu ili wajiendeleze? Hivi nini maana ya cheti kutolewa kwa kila mhitimu wakati kumbe wengine wanaweza kuungia kwa juu kama kaka yako makonda? Basi mimi ningeshauri hii ya makonda iruhusiwe nchi nzima sio kwa yeye tu, wale waliozungusha wote waje tuwape vyeti vyetu tuliopenya ili wajiendeleze kama yeye,hatutaki Double measurement hapa kama kipimo ni robo watu wote wapimiwe robo na si wengine kuwazidishia
 
Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?

Sijaelewa unamaanisha nn!,nikushauri soma vizuri post yao,edit then itume upya tuweze kukuelewa ulikuwa unataka kumaanisha nn!.
 
Rais alijinadi Kuwa Watu anaowateua anafahamu Uwezo Wao, Huu "Uwezo" Wa Daudi Bashite wa kupata "F" Masomo yote aliufahamu Kabla hajamteua?
 
Wewe mwenyewe ni haramu in one way or another, swali langu Paul hajasoma? Hakupitia hizo hatua za vyuo? Kama amepita tuhuma zenu juu yake ni elimu au utendaji wake? Ama uthubutu aliofanya kutimiza wajibu wake.

Hana credibility tena ya kukemea maovu wakati yeye mwenyewe kanjanja
Unless wale wote walifukuzwa makazini hivi karibuni kwa kutumia assumed identities warudishwe makazini Mara moja
Kuna double standard hapa! Sheria hii inaapply kwa wengine but Makonda sijui Bashite
 
Ikibainika ndg Daudi Bashite amechakachua vyeti ningependekeza adhabu yake iwe kama ifuatavyo:

1.Ajisalimishe mwenyewe polisi mara moja

2.Arudishe posho, mishahara na stahiki zote alizonufaika nazo katika nyadhifa za uongozi serikalini kuanzia bunge la katiba,ukuu wa wilaya na mkuu wa mkoa.Kwani hizi ni pesa za walipa kodi

3.Atafutiwe gereza lolote lenye shughuli za kilimo na kipindi anatumikia adhabu yake asipewe cheo cha unyapara wala mgawa ugali

Nitarudi baadae na pendekezo la mwisho...
 
hapa kosa si uteuzi wake, kosa ni kutumia cheti/jina la mtu mwingine kujinufaisha.

japo teuzi za kisiasa hazikuachwa zielee bila ya kuwa na sheria fulani ndo maana unaona lazima uwepo wa akili timamu, ujue kusoma na kuandika na nyinginezo.

lazima jamaa awajibike kwa wizi wa jina (kama ni kweli), kama tu wizi wa maandishi unawajibishwa vp? wizi wa jina?

mkuu mapenzi yasikutie upofu.
Is it? Sio kuwa wanaangalia ufahamu na utendaji wa MTU,? Katika kuteua. Nafasi za kisiasa?
Je huyo Dada wa kihaya ana nafasi yoyote ya katika kesi hii sabbu bila shaka alihusika kuuza cheti cha mtu , so alikuwa mwizi je aweza patikana.?
 
Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?
Mkuu unaishi wapi? Operation ya watumishi hewa na vyeti feki umeifuatilia.
Bora ungecomment bila kutukana coz na wewe hujui kitu.
Nna rafiki yangu kasoma kilimo na ni mtaalamu wa kilimo na mchapakazi had wakulima walisikitika kuondoka kwake.
Tatizo ni kwamba alienda kusoma form six kwa cheti feki. Alifany vizur form 6 akaenda chuo ch kilimo nako kfanya vizuri.
Lakin had sasa anasubiri hukumu mahakamani n kazi alishafukuzwa.
 
Back
Top Bottom