Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
"kipendacho roho hula .....,mbichi."
None sense,! Siasa nyepesi sana kwa watu walio serious.!Kwani aliyetoa ushauri wa kuhakiki vyeti ni nani?Kwani nani alisema hataki vilaza udom?
Sijui huyu mtuhumiwa ana nini ambacho ni spesheli!!!
Jaman kama umesoma shule 2010 uku ndio utasema ivyo ila vyeti vilikua vinatolewa mpaka wa dv 0 ndalichako ndio alikuja kutengua iyo issue ikawa mtu anayepata cheti mwisho dv 4 ya 28 tatizo wabongo kukurupuka unachokijua muwe mnafanya tafiti gwajima yupo sahihi na makonda hawezi jibu maana alichokifanya ni kosa la kufungwa jela kabisaNaomba tukumbuke kuwa ukipata zero NECTA hawakupi cheti. Kwahiyo huwezi kusema una ushahidi wa cheti cha mtu kwenye zero. Unaweza kuwa na matokeo lakin sio cheti.
Amekushika kunakoHuyu mchungaji au kanyaboya
Unataka afanyie kazi majungu? Wenye uwezo wa kuchunguza vyeti vya elimu ni NECTA siyo GwajimaDah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.
Mtaje Kama GwajimaMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Jaman kama umesoma shule 2010 uku ndio utasema ivyo ila vyeti vilikua vinatolewa mpaka wa dv 0 ndalichako ndio alikuja kutengua iyo issue ikawa mtu anayepata cheti mwisho dv 4 ya 28 tatizo wabongo kukurupuka unachokijua muwe mnafanya tafiti gwajima yupo sahihi na makonda hawezi jibu maana alichokifanya ni kosa la kufungwa jela kabisa
Narudia tena, Tanzania hii hakujawahi kutolewa cheti kwa aliyepata zero. Kama una cheti na ulipata zero, kiweke hapa tukuonyeshe ni fake na hakijatolewa na NECTA.Jaman kama umesoma shule 2010 uku ndio utasema ivyo ila vyeti vilikua vinatolewa mpaka wa dv 0 ndalichako ndio alikuja kutengua iyo issue ikawa mtu anayepata cheti mwisho dv 4 ya 28 tatizo wabongo kukurupuka unachokijua muwe mnafanya tafiti gwajima yupo sahihi na makonda hawezi jibu maana alichokifanya ni kosa la kufungwa jela kabisa
.....Swali zuri sana hili na anayeweza kulijibu ni huyo aliyemteua.
Asipofanyia kazi nitashangaa sana. Hamna aliyejuu ya sheria. So they say. Huu ndio mtihani haswa kwa Magufuli. Wakimaliza la vyeti waendelee na tuhuma nyingine. Serikali wasijaribu nao ku twist ukweli, naamini watu wana documents mkononi.Ndalichako sio mjinga kufanyia kazi kauli za huyu mchungaji kibwetere
Sijui upumbavu ni tusi,?! Am sorry nimejikuta limenitoka tu juu yako.! Hivi unajua kulikuwa na walimu ambao hata darasani hawajaenda, Ila wanakula mshahara wa gvt kwa jina la mtu? Leo mnataka kufananisha na mtu aliyesoma kwa jina la mtu mwingine, sio kupata kazi.! Je paul hajasoma? Hajapata elimu? Kama amesoma tuhuma zenu ni nini?Sisi watanzania ni wanafiki sana Leo hii sisi wa kumtetea binadamu mwenye scandal ya vyeti feki badala ya kupaza sauti mamlaka husika ithitibishe au kukanusha...kweli Waswahili sisi hatuna maana mmesahau maumivu ya ndugu zetu ya uhakiki wa vyeti hadi wengine Kupata ajali katika movement za kwenda kuhakikiwa! Yeye makonda ni nani hasa mpaka tumtetee aachwe!? Yeye pia ni mtumishi japo ni wa kuteuliwa na zoezk hili la uhakiki lilipaswa lianze na wao kisha sisi, maana Mkuu wa nchi alikosea sana kuwataka wakuu wa mikoa na wilaya kutafuta watu wachafu huku wao wenyewe wakiwa na soni katika nyuso zao