Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kwahiyo kufoji vyeti inaruhusiwa?
Kwa Tanzania hairuhusiwi lakini pia haipigwi vita. Wengi katika safu ya uongozi wamenunua vyeti au wamenunua ufaulu. Na hao ndio wengi walioishia kwenye uongozi wa nchi hii. Ndio sababu kila kitu ni hewa , roho mbaya na unafiki ndio vimetawala bongo land kwa miongo mingi.

Yupo viongozi wamemaliza daraja zote za elimu, kuanzia chekechea mpaka udokta na uprofesa tena wametumia kiingereza kusoma lakini nimesikia wamekisahau kiingereza au kiingereza kiliyeyuka baada ya kumaliza masomo na wengine kiingereza kimawasahau wao.

Waliosoma na wenye taaluma za kweli wanaonekana ni takataka tu au wenyewe kutokana mfumo wa kinafiki inawabidi waziweke mfukoni taaluma zao wajiingize kwenye unafiki ili wapate mgao kutoka shamba la bibi.

Mimi nina imani tukileta wachunguzi huru kutoka nje ya Tanzania kuja kuhakiki elimu au vyeti vya watanzania, tunaweza kulazimika kuwaomba wachungaji, mapadre, makasisi na masheikh watuombee dua kwa siku arobaini kwanza kabla ya hao wachunguzi kuanza kazi kwa sababu hatutaamini matokeo ya uchunguzi/uhakiki wao.
 
Baada ya mchungaji kuweka kila kitu hadharani kuhusu bwana fulani na hatua zikachukuliwa, kwakweli sitapongeza bali nitashangaa sana na nitabaki na maswali yafuatayo kichwani mwangu.

Hivi inakuwaje mchungaji awe na details zote hizo alafu mh.sana asiwe nazo?

Hata kama mwanzoni alikuwa hana taarifa hizi,alishindwa kuagiza uchunguzi ufanyike?

Kama aliagiza ina maana muda wote huu tangu tuhuma hizi zianze kusambaa uchunguzi ulikuwa bado haujakamilika?

Kama mtu binafsi amepata taarifa zote hizi iweje wao washindwe kuzipata tena ndani ya muda mfupi zaidi maana wao wana kila resources?

Kama aliagiza na kupewa taarifa ina maana alipewa taarifa za uongo?

Kama alipewa taarifa za kweli mbona hakuchukua hatua?

Kama alipewa taarifa za uongo basi tunatarajia kuona waliomdanganya wanachukuliwa hatua.

Kama mchungaji kasema uongo basi tunatarajia kumuona akiitwa na kuhojiwa na kisha kuchukuliwa hatua na hili lisipofanyika basi tutamuamini mchungaji.
 
biyan! kweli usichokijua ni kama usiku wa giza! we kama kitu hukijui omba msaada uelekezwe na ndio maana waswahili wanasema kuuliza si ujinga, inaelekea ww ni mtoto wa juzi! sasa kwa taarifa yako GWAJIMA hajachemka ila ww ndio umechemka kutokana na mihemko yako, kwa kifupi ni kwamba, apo zaman mtu yeyote akimaliza elimu ya sekondar ni lazima apewe chet haijalishi amepata division gan, sasa baadae mfumo ukabadilika, ikaonekana yule mwenye division 0" ni kwamba uwelewa wake ni mdogo sana ivyo kutokana na hilo bas hastahil kupewa hata chet na chet kitatolewa kwa yule ambaye amepata walau division four. kwa iyo kwa kifupi tu ni kwamba ww ndio umechemka na si GWAJIMA, My take, kitu kama huna uhakika nacho usikurupuke kama DAUD
 
Rais "wetu" ni double standard kishenzi. Mpaka una jiuliza Haka ka Bashite kamefanya nini cha maana kias ana kanyamazia hivi?. Mbona alimtumbua Wilson Kabwe (RIP) bila hata kuwa na ushahidi!? Mbona amesimamisha kuajiri watu na kupandisha mishahara kisa kuangalia vyeti feki, yet cha Daudi hakioni!!
Theyr r both stupid leaders

Nchi hii kuna mmoja wetu kalewa, either Rais kalewa au wananchi tume lewa. Nna mashaka zaid na huyo wa kwanza lakin
 
Miaka mingi huko Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kulikuwa na mzungu aliyeitwa Jonathan,nyumbani kwa Jonathan ndio ilikuwa sehemu pekee iliyokuwa na bomba la kupampu (kama ya Hesawa) basi kila asubuhi majirani wa Jonathan walikuwa wakifika nyumbani kwake kwa minajiri ya kuchota maji lkn walikuwa wakipata wakati mgumu sana kumuamsha asubuhi maana majirani wale walikuwa wakishindwa kabisa kutamka jina Jonathan (ni kawaida ya wasukuma kushindwa kutamka baadhi ya majina , mfano Abdallah huwa anaitwa Bundallah au Magdalena anaitwa Madelena) .Kuondoa usumbufu huo kila walijaribu kuita jina lake kwa shida,Jonathan aliwaambia "call me J" baada ya hali ile kujirudia kwa muda wenyeji wale walijiridhisha kabsa kwamba jina lingine la Jonathan ni call me J=Kolomije ( likoromije ghete' kwa maana hili linaitwa Likoromije),hapo ndipo mwanzo wa jina hiliKolomije,miaka ikapita baadae akazaliwa Gwajima na miaka ikapita zaidi akazaliwa Daudi na kwa taarifa tu kila ndege inayopita kwenye anga la Kolomije huwa inaitwa Gwajima.
Karibuni kwa maswali
Umebugi. Ile ni kolomije ya misungwi sio sumve kwimba understood
 
Sina uhakika sana ila tetesi zinasema aliwataja wanafunz wanaotumia bhangi parade lkn akajichanganya akaweka na majina ya walim ,inasemekana lkn
Kweli kama ni ivo kwl n bashite kwann ajchanganye ataje na majina ya walimu. I think thee is something behind the curtain
 
TCU,mamlaka ya kusimamia vyuo vikuu iko bize kuwafukuza wanafunzi eti hawana sifa za kutosha kusoma degree.

Hawa wanafukuzwa kwa kuwa hawana "godfather"? Wa kuwakingia kifua?

Wale wa UDOM walioitwa vilaza?

Je. si. KA?

Watumishi wa umma waliokaguliwa vyeti kama wakimbizi,tena kwa harassment?

Baraza la mitihani liko wapi liondoe hii kadhia? Kwa nini linaiacha nchi ikiwa katika speculations?

Waziri wa elimu si aliwahi kuwa mtendaji Mkuu wa Baraza la Mitihani?
 
Naona muda unakwenda sana,na matukio yanakimbia kwa kasi,upepo huu nadhani hata Nyumba kuu wanaona unawaletea "kadhia"

Ni vizuri mtu huyu apewe kasia 'ende zake baharini akavue samaki,ndio kazi aliyosomea(kama ni kweli kasomea)

Rest in peace Wilson Kabwe

God is just paying in time
 
Duh Yesu aliwaambia Mafarisayo na Masadukayo anayejiona hana Dhambi ampige huyu Mwanamke Walikimbia wote bila kumpiga.... Tizama boriti lako jichoni mwako...

Wema
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Iyo ni kumekucha uwanja wa dar dabi hapo chacha muvi imeenda patamu
 
mimi naishi mwanza na hpo mnpobishania ni kata ya Sumve kijiji cha Kolomije wilaya ya Misungwi
 
Makonda will hardly sleep because of his grave and hogwash decisions has made and let him be answerable for all detriments has done ili ajifunze kuwa Mara zote jaribu kuyafanya maneno yako kuwa laini mana huenda siku moja ukayala mwenyewe
 
Back
Top Bottom